Wakati wakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi, Wairani wageukia dhahabu na fedha za kigeni ili kuhifadhi mali

Hivi kipindi cha utawala wa Shah na kipindi hiki cha utawala wa kidini ni kipi chenye nafuu kwa maisha ya wa-Iran?
Wakati wa utawala wa Shah wananchi wa Iran walikuwa wanakula bata lakini sasa hivi nusu yao wanaishi chini ya dola moja kwa siku na hela yao imekuwa ni makaratasi kwani dola moja ni sawa na Rial 42,000.

Hawa mahayatollah wameharibu kabisa Iran na nchi imejaa ufisadi huku wakidanganya eti ni utawala wa kidini...!!
 
Dahh.. ndugu yangu kwani Kwaa uelewa wako, unafahamu nini kuhusu Biblia na maandiko yake na theme yale na waandishi wake na inahusu nini au imeandikwaje.. kuna chochote unaweza nipa maelezo ,ili tuanzie hapo kwanza.. maana kumbe huko kwingine kumbe tulianzia mbali sana.

Kama uliwahi kusikia , kuna biblia inaitwa The Red letter Bible. Ndani ya hiyo biblia maneno yanayosadikiwa kuwa pengine yalisemwa na Bwana Yesu ni 20 percent tu. Na hayo maneno yako kwa wino mwekundu. Unaweza ukagoogle utaiona. Tuanze hapo.
 
Maandiko ya neno la Mungu yanamshuhudia Yesu kama ni Mungu
Yohana 1 : 1-......

Yohana 1:1 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu, vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M kubwa, wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Huko ni kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki.

Nukuu hiyo ya Yohana 1:1 inatambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo Alexandria kabla ya Yesu na Yohana.

Neno “god” au “TONTHEOS” pia limetumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu .

Katika Kutoka 7:1 Mungu anamwambia Nabii Musa “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao;
 
Ya Irani waachie wenyewe, wewe kwanza ufahamu kuwa Yesu si Mungu wala hakuna mahali alidai kuwa yeye ni Mungu
Matthew 22:45
I AM the Bread of Life (John 6:35, 41, 48, 51); I AM the Light of the World (John 8:12); I AM the Door of the Sheep (John 10:7, 9); I AM the Good Shepherd (John 10:11,14); I AM the Resurrection and the Life (John 11:25); I AM the Way, the Truth and the Life (John 14:6); and I AM the True Vine (John 15:1, 5)

God of the Bible According to Moses alimuuliza niwaambie nini watu wangu jina lako Mungu akamuambia waambie 'I AM' who I AM

Exodus 3:13 Moses said to God, “Suppose I go to the Israelites and say to them, ‘The God of your fathers has sent me to you,’ and they ask me, ‘What is his name?’ Then what shall I tell them?”

Exodus 3:14 God said to Moses, “I Am Who I Am”; and He said, “You shall say this to the Israelites, ‘I Am has sent me to you.’”

And kwenye Quran Kasome Sura Mariam 19:1 Kaf, Ha, Ya, 'Ayn, Sad. (Christ is my Lord)

Waraqah ibn Nawfal

alipokuwa anatafsiri Biblia from Aramaic to Arabs kwa Mohamad akamficha language code mtume wenu akabeba kama ilivyo aya hiyo... Huyu mjomba wake Khadija mke wa Mtume wenu Mkristo and Khadija ndie alileta story za Jibril wakati Mtume wenu alitokewa na Shetani ile khofu ya Mudy wakamuambia usiogope ni Jibril huyo.. hahahaha

Kama uliwahi kusikia , kuna biblia inaitwa The Red letter Bible. Ndani ya hiyo biblia maneno yanayosadikiwa kuwa pengine yalisemwa na Bwana Yesu ni 20 percent tu. Na hayo maneno yako kwa wino mwekundu. Unaweza ukagoogle utaiona. Tuanze hapo.
Waislam nyie mna Aya za Shetani uki google Satanic verses unakuta Quran karibu yote ni issue za Shetani
 
Wairan ni watu wenye pesa acha kabisa yaani.

Serikali yao ishawahi kununua ndege 300 kwa mpigo tu
Fuatilia kwa umakini.

Nchi ya Iran, wananchi wake wengi wanaishi kwenye umaskini mkubwa wa kutisha.

Nchi ya Iran, inategemea uchumi wa kitu kimoja tu, mafuta. Na visima vyote vinamilikiwa na Serikali. Unategemea wananchi wawe na hali gani!!

According to official figures released by the interior ministry, in total, around 60 percent of the 84 million Iranians live under the relative poverty line of whom between 20 to 30 million live in "absolute poverty".2 Jan 2023
 
Yohana 1:1 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu, vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M kubwa, wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Huko ni kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki.

Nukuu hiyo ya Yohana 1:1 inatambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo Alexandria kabla ya Yesu na Yohana.

Neno “god” au “TONTHEOS” pia limetumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu .
Sisi tunaamini kuwa kuna miungu mingi katika Dunia hii yenye uwezo na isiyo na uwezo kama Shetani ana uwezo na Allah hana uwezo Even Binadamu pia wameitwa Miungu.. Kumbuka Shetani alipomuambia Eva ale tunda na akila atafanana na Mungu na atakuwa na uwezo wa kujua baya na jema same as God.. Only muslim ndio mnakataa wakati Allah sio Mungu wa Musa nyie Allah wenu ni yule wa Wakuraishi wachawi Baba yake Mtume wenu aliitwa Abdullah maana yake Msaidizi wa Allah.. sawa ba Baal tu pagan
Katika Kutoka 7:1 Mungu anamwambia Nabii Musa “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao;
Ujinga wa Deedat umeuleta humu pia hahahaha Soma hiyo..

Maandishi ya kigiriki Yohana 1:1 ni : En arche en ho logos, kai ho logos en pros ton theon, kai theos en ho logos.

na maneno yenye herufi nzito ni misemo miwili ya "theos" = "mungu" katika sentensi.

Neno la Kigiriki la "mungu" ni 'ho theos' [kesi ya somo], 'ho' = "the", 'theos' = "mungu",
'ton theon' ni aina ya mashtaka [kitu cha kesi] yake.

Ujinga wa Deedat unaonyesha kwa njia kadhaa.

1) Katika 'ton theos' anachanganya 'ton' (kesi ya kushtaki ya kifungu) na 'theos' (nomino ya nomino) ambayo ni muundo usiowezekana katika Kigiriki.

2) Kesi ya mashtaka 'ton theon' ni kutajwa kwa Mungu KWANZA katika aya [huku akidai 'tontheos' kuwa ya pili], wakati 'theos' [bila kifungu lakini kesi ya nomino] ni kutajwa kwake mara ya pili.

3) Kimsingi wasomi wote makini wanakubali kwamba tafsiri ya kawaida ya Biblia "Hapo mwanzo kulikuwa na neno na neno lilikuwa kwa Mungu na neno lilikuwa Mungu." ndio tafsiri sahihi. Na maoni haya yanachangiwa na wasio amini Mungu atheist wengi na wataalamu wa sarufi, wanaosema “hii ndiyo tafsiri sahihi” ingawa hatuamini kuwa maudhui ya sentensi ni sahihi
 
Waislam nyie mna Aya za Shetani uki google Satanic verses unakuta Quran karibu yote ni issue za Shetani
Nyinyi wakristo mbona mna Gay Bible na pia Satanic Bible pia bila kusahau na Mormon Bible
 
Fuatilia kwa umakini.

Nchi ya Iran, wananchi wake wengi wanaishi kwenye umaskini mkubwa wa kutisha.

Nchi ya Iran, inategemea uchumi wa kitu kimoja tu, mafuta. Na visima vyote vinamilikiwa na Serikali. Unategemea wananchi wawe na hali gani!!

According to official figures released by the interior ministry, in total, around 60 percent of the 84 million Iranians live under the relative poverty line of whom between 20 to 30 million live in "absolute poverty".2 Jan 2023

Mnashindwa hata kuangalia kwenye you tube ? Angalia abrar wildlens katembelea mpaka Tanzania iangalie , Iran ilipofika , usilishwe matango pori na wayahudi
 
Sisi tunaamini kuwa kuna miungu mingi katika Dunia hii yenye uwezo na isiyo na uwezo kama Shetani ana uwezo na Allah hana uwezo Even Binadamu pia wameitwa Miungu.. Kumbuka Shetani alipomuambia Eva ale tunda na akila atafanana na Mungu na atakuwa na uwezo wa kujua baya na jema same as God.. Only muslim ndio mnakataa wakati Allah sio Mungu wa Musa nyie Allah wenu ni yule wa Wakuraishi wachawi Baba yake Mtume wenu aliitwa Abdullah maana yake Msaidizi wa Allah.. sawa ba Baal tu pagan

Ujinga wa Deedat umeuleta humu pia hahahaha Soma hiyo..

Maandishi ya kigiriki Yohana 1:1 ni : En arche en ho logos, kai ho logos en pros ton theon, kai theos en ho logos.

na maneno yenye herufi nzito ni misemo miwili ya "theos" = "mungu" katika sentensi.

Neno la Kigiriki la "mungu" ni 'ho theos' [kesi ya somo], 'ho' = "the", 'theos' = "mungu",
'ton theon' ni aina ya mashtaka [kitu cha kesi] yake.

Ujinga wa Deedat unaonyesha kwa njia kadhaa.

1) Katika 'ton theos' anachanganya 'ton' (kesi ya kushtaki ya kifungu) na 'theos' (nomino ya nomino) ambayo ni muundo usiowezekana katika Kigiriki.

2) Kesi ya mashtaka 'ton theon' ni kutajwa kwa Mungu KWANZA katika aya [huku akidai 'tontheos' kuwa ya pili], wakati 'theos' [bila kifungu lakini kesi ya nomino] ni kutajwa kwake mara ya pili.

3) Kimsingi wasomi wote makini wanakubali kwamba tafsiri ya kawaida ya Biblia "Hapo mwanzo kulikuwa na neno na neno lilikuwa kwa Mungu na neno lilikuwa Mungu." ndio tafsiri sahihi. Na maoni haya yanachangiwa na wasio amini Mungu atheist wengi na wataalamu wa sarufi, wanaosema “hii ndiyo tafsiri sahihi” ingawa hatuamini kuwa maudhui ya sentensi ni sahihi

Utafsiri mbaya wa maandishi: / Mistranslation of the text:

Katika hati za "asili" za Kigiriki (Je, mwanafunzi Yohana alizungumza Kigiriki?), "Neno" linaelezewa tu kuwa "ton theos" (mungu/mungu) na sio "ho theos" (The Divine/The God). )

Tafsiri iliyofanywa na mtu mwaminifu na sahihi zaidi ya mstari huu ingesomeka hivi: “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa wa Mungu” (Ukisoma New World Translation of the Bible utayapata haya maneno).

Vile vile, katika "The New Testament, An American Translation" mstari huu umewasilishwa kwa uaminifu kama

"Hapo mwanzo Neno alikuwako. Naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa wa Mungu."

The New Testament, An American Translation, Edgar Goodspeed na J. M. Powis Smith, The University of Chicago Press, p. 173

Na tena katika kamusi ya Biblia, chini ya kichwa cha "Mungu" tunasoma

"Yn 1:1 inapaswa kutafsiriwa kwa ukali 'neno lilikuwa kwa Mungu [=Baba], na neno lilikuwa kiumbe cha Uungu."

Kamusi ya Biblia ya John McKenzie, Collier Books, uk. 317

Katika Biblia nyingine tunasoma:

"Neno (Neno) alikuwako hapo mwanzo, na Logos alikuwa pamoja na Mungu, Logos alikuwa wa Mungu."

Biblia Takatifu, Yenye Agano la Kale na Agano Jipya, na Dk. James Moffatt

Tafadhali tazama pia "The Authentic New Testament" na Hugh J. Schonfield na wengine wengi.

Tukiangalia mstari tofauti, 2 Wakorintho 4:4, tunapata neno lile lile (ho theos) ambalo lilitumika katika Yohana 1:1 kumwelezea Mungu Mwenyezi sasa linatumika kumwelezea shetani, hata hivyo, sasa mfumo wa tafsiri umebadilishwa:

"mungu wa dunia hii (Ibilisi) amepofusha fikira zao wasioamini." 2 Corinthians 4:4
 
Fuatilia kwa umakini.

Nchi ya Iran, wananchi wake wengi wanaishi kwenye umaskini mkubwa wa kutisha.

Nchi ya Iran, inategemea uchumi wa kitu kimoja tu, mafuta. Na visima vyote vinamilikiwa na Serikali. Unategemea wananchi wawe na hali gani!!

According to official figures released by the interior ministry, in total, around 60 percent of the 84 million Iranians live under the relative poverty line of whom between 20 to 30 million live in "absolute poverty".2 Jan 2023

View: https://youtu.be/Dey8ArtNCpM?t=4
 
Hizi train hata huko Marekani hakuna

View: https://youtu.be/L7ryrXdVrnA?t=5
 
Matthew 22:45
I AM the Bread of Life (John 6:35, 41, 48, 51); I AM the Light of the World (John 8:12); I AM the Door of the Sheep (John 10:7, 9); I AM the Good Shepherd (John 10:11,14); I AM the Resurrection and the Life (John 11:25); I AM the Way, the Truth and the Life (John 14:6); and I AM the True Vine (John 15:1, 5)

God of the Bible According to Moses alimuuliza niwaambie nini watu wangu jina lako Mungu akamuambia waambie 'I AM' who I AM

Exodus 3:13 Moses said to God, “Suppose I go to the Israelites and say to them, ‘The God of your fathers has sent me to you,’ and they ask me, ‘What is his name?’ Then what shall I tell them?”

Exodus 3:14 God said to Moses, “I Am Who I Am”; and He said, “You shall say this to the Israelites, ‘I Am has sent me to you.’”

And kwenye Quran Kasome Sura Mariam 19:1 Kaf, Ha, Ya, 'Ayn, Sad. (Christ is my Lord)

Waraqah ibn Nawfal

alipokuwa anatafsiri Biblia from Aramaic to Arabs kwa Mohamad akamficha language code mtume wenu akabeba kama ilivyo aya hiyo... Huyu mjomba wake Khadija mke wa Mtume wenu Mkristo and Khadija ndie alileta story za Jibril wakati Mtume wenu alitokewa na Shetani ile khofu ya Mudy wakamuambia usiogope ni Jibril huyo.. hahahaha

Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema:

"Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo."

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema:

"Kristo kajifufua", sio kafufuliwa.

Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni.

Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:
  1. Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
  2. Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
  3. Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."
Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?

Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu?

Au nini alikusudia aliposema:

"Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?

Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.

La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.

Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.

Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.

Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
 
Some people read:

"I am the way, ...no one comes to the Father, but throughme."

When reading this verse, for some reason some people see in it a confirmation of theTrinity. Although I can not see how they can read either an explicit or even an implicitreference to the Trinity in this verse, still, due to it's popularity it deserves to bestudied

There appear to be a sizable number of Christians who when reading this verse interpretit to state that Jesus is God and that no one shall enter into heaven except if theyworship Jesus (Luke 2:52: GOD forgave Jesus' sins and was "charitable" with him). However, since it is brought up so often in discussions of theTrinity it appears to be appropriate to discuss it here.

The popular perception that this verse claims that Jesus requires our worship in orderfor us to receive salvation is not the intended meaning of this verse. However, in orderfor us to recognize this fact it is necessary to study it's context.

If we were to back up a little and read from the beginning of this chapter, we wouldfind that just before Jesus spoke these words, he said;

"In my Father's house are many mansions (dwelling places);if it were not so, I would have told you; for I go to prepare a mansion (a dwelling place)for you."

John 14:2

He said that in God's mansion there are "many"rooms. Jesus was sent to guide to only one of them. The countless other rooms werereserved for other tribes and nations if they would obey their messengers. However, Jesuswas telling his followers that they need not worry themselves about the other rooms.Anyone from among his people who wished to enter into the room which was reserved for themcould only do so if they followed Jesus and obeyed his command. So Jesus confirmed that hewas going to prepare "a" mansion and not "all" the mansions in"my Father's house".

Further, the verse clearly states that Jesus was the "WAY" to a mansion. Hedid not say that he is the "DESTINATION" which would be the case if he were God.What else would we expect a prophet of God to say except "I am the'way' to God's mercy"? That is his job. That is what a prophet does.It is why God chose him in the first place; in order to guide to the mercy of God.This is indeed confirmed in John 10:9 where Jesus tells us that he is "the door"to "the pasture." In other words, he is the "prophet" who guides hispeople to "heaven" (see also Jn. 12:44).
 
Ya Irani waachie wenyewe, wewe kwanza ufahamu kuwa Yesu si Mungu wala hakuna mahali alidai kuwa yeye ni Mungu
Unajisikia vibaya wenzio wakisema Yesu ni Mungu eeeeeh.Basi wenzio tunaamini allah si Mungu.
 
Utaquote vifungu vyote walahi nakuapia you are doing it in vain.Hakuna mutu atakuwa muislam kwa hizo quotes zako.Pole
 
Jesus is God na wenzio Iran wameamka wanabatizwa.Huko Ulaya dini yako inachafuka wanasema ni ya fujo wanataka Trump achukue nchi mass deportations zianze.
 
Unajisikia vibaya wenzio wakisema Yesu ni Mungu eeeeeh.Basi wenzio tunaamini allah si Mungu.

Mimi nawaona mnajiangamiza kwa kusema Yesu ni mungu, Huo ni upofu na kufuru , hamna ushahidi wowote kuwa ni Mungu ,wala kuwa alijitangaza kuwa ni Mungu . hiyo ni Imani pofu , au Blind faith
 
Back
Top Bottom