maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,812
- 2,360
Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi.
Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei. Tusaidiane kama ilitokea mabadiliko yeyote. Yaani kila mara umeme ni tatizo wakasema kukatika itakuwa historia lakini matatizo yako pale pale.
Watanzania ifike mahali tukatae kudanganywa kama watoto wadogo uongo kwa mtu Kama kiongozi ni mbaya Sana. Yaani ni afadhali asiseme Kama hana uhakika.
Je, gesi imewasaidia nini watanzania ebu tusaidiani anayejua faida tuliyopata kutokana na gesi Kama watanzania atusaidie.