Kinyerezi 1&2Gesi imesaidia nini kwenye umeme ebu tusaidiane
HawajadanganywaKwa hiyo wale ndugu was mtwara walidanganywa siyo pamoja na watanzania
ZoteNi megawatu ngap imeingizwa kwenye grid ya taifa
Yaani nimekuelewa kiongozi hatuezi chomoka hapa bila hawa jamaa kukaa benchiHakika Watanzania tuna matatizo kwenye bongo zetu sio bure hivi kuna mtu mwenye akili timamu bado ana amini kwamba chini ya CCM nchi hii itapata maendeleo ya kweli? Au mageuzi ya kiuchumi, kisiasa kisayansi na kiteknolojia pamoja na elimu pasipo kuacha kijamii?
"Kuna zama zitafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi"Shaaban Robert
Umeeleweka mkuu wala siongezi nenoJamani Born town Wana shares zao wanawanyonya nyumbu wengi damu na nyama ili kuwekeza akiba kwa little cheetah, leopards waje kunywa damu na nyama zikiwa zimejaa tele. Nyie malimbukeni , wajinga,washamba,wachunga ng'ombe na wacheza ngoma endeleeni ili kunyonywa iwe rahisi mno.
Upate ulaini ili iweje wewe vuja jasho sie tusimame juu ya mabega yenu. Ikigoma,ukiileta fujo nyumbu wenzako Askari watakushambulia kwa ujira mdogo tunaowapatia. Yaani hii system ya serikali aliyeigundua ajengewe sanamu mbinguni. Natumia masikini wenzako kukudhibiti ili ukamuliwe yabakie mavih tumboni mwako. Natumia Kodi zako nitakavyo na hakuna wa kuhoji yaani Kuna masikini wenzako Wana njaa nikiwapa chakula kidogo wanakushughulikia ipasavyo.
Jamaa wamejipanga vizuri kuitafuna nchi 1. Wizara ya fedha Mwigulu 2. Maji Aweso 3. Ujenzi Mbarawa 4. Ardhi Ridhiwani 5. Nishati Makamba 6. Kilimo BasheHabari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi.
Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei. Tusaidiane kama ilitokea mabadiliko yeyote. Yaani kila mara umeme ni tatizo wakasema kukatika itakuwa historia lakini matatizo yako pale pale.
Watanzania ifike mahali tukatae kudanganywa kama watoto wadogo uongo kwa mtu Kama kiongozi ni mbaya Sana. Yaani ni afadhali asiseme Kama hana uhakika.
Je, gesi imewasaidia nini watanzania ebu tusaidiani anayejua faida tuliyopata kutokana na gesi Kama watanzania atusaidie.
Fisiemu wanatakiwa kuka benchi tena kwa nguvu maana kupitia sanduku la kura ni sawa na kumpa panya alinde ghala la karanga.Yaani nimekuelewa kiongozi hatuezi chomoka hapa bila hawa jamaa kukaa benchi
SureFisiemu wanatakiwa kuka benchi tena kwa nguvu maana kupitia sanduku la kura ni sawa na kumpa panya alinde ghala la karanga.
Chama kina watu myopic na walio jaa tabia ya cupidity na tumbocracy
Hatari snJamani Born town Wana shares zao wanawanyonya nyumbu wengi damu na nyama ili kuwekeza akiba kwa little cheetah, leopards waje kunywa damu na nyama zikiwa zimejaa tele. Nyie malimbukeni , wajinga,washamba,wachunga ng'ombe na wacheza ngoma endeleeni ili kunyonywa iwe rahisi mno.
Upate ulaini ili iweje wewe vuja jasho sie tusimame juu ya mabega yenu. Ikigoma,ukiileta fujo nyumbu wenzako Askari watakushambulia kwa ujira mdogo tunaowapatia. Yaani hii system ya serikali aliyeigundua ajengewe sanamu mbinguni. Natumia masikini wenzako kukudhibiti ili ukamuliwe yabakie mavih tumboni mwako. Natumia Kodi zako nitakavyo na hakuna wa kuhoji yaani Kuna masikini wenzako Wana njaa nikiwapa chakula kidogo wanakushughulikia ipasavyo.
Hakika sanamu ya huyo mtu ijengwe huko mbinguni kusiko haribika.Jamani Born town Wana shares zao wanawanyonya nyumbu wengi damu na nyama ili kuwekeza akiba kwa little cheetah, leopards waje kunywa damu na nyama zikiwa zimejaa tele. Nyie malimbukeni , wajinga,washamba,wachunga ng'ombe na wacheza ngoma endeleeni ili kunyonywa iwe rahisi mno.