Pia kuna kitengo cha maafa kwenye ofisi ya waziri mkuu, labda tumuulize waziri mkuu au naibu waziri mkuu kuhusu hili.Sasa huyu mwenzetu anataka nini? Hata Rais akienda hapo Hanang hakutakuwa na mabadiliko yoyote yale. This is bongo tupambane na hali zetu.
Sasa kelele za nini, hawana vifaa!Na kiko kazini
Fungua code mwenyewe soma sana pekenyua mafaili yalijificha utajuaNani ni mgonjwa?
Jana kwenye taarifa ya habari mbona rais alilisemea hiloNa wewe acha masihara. Yaani unataka tutafute uzi wa Lucas yule chawa wa kupindukia???
Hebu wakati mwingine tuwe serious!
KIchwa ina mambo mengi sitaki kukichosha na macode wakati unaweza kusema direct.Fungua code mwenyewe soma sana pekenyua mafaili yalijificha utajua
Kama unamchukulia Rais kama baba yako basi unashangaza sana mkuu. Lini alikusaidia wewe kama baba?Mkuu upo serious kabisa ? Familia inateketea baba mwenye nyumba upo ugaibuni una toa maagizo ? Yan watoto zako wawili wamekufa kwa ajali ya moto we upo dubai unaagiza mazish yafanyike we utakuja tu ?
AahaaaaMama yuko ughaibuni akila bata na kufanya udalali wa rasimali zetu, Mr. Plan naye yuko ughaibuni akipambania uhai wake.
Tutafika tukiwa hoi balaa.
Harudi...!Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Yaani kwamba hiko kitengo hakiwezi kufanya kazi kama Rais hayupo?.Pia kuna kitengo cha maaf kwenye ofisi ya waziri mkuu, labda tumuulize waziri mkuu au naibu waziri mkuu kuhusu hili.
🤭Hapo sijui
Si Dr.Tulia au Katiba inasemajeLicha ya maagizo, lazima kuna aliyeachiwa nchi!
Hahahaaaa..... Mkuu unanitisha sana.Kipo, na namna ya kushughulikia imewekwa wazi, kasome katiba ili uone kama ni rahisi au ngumu kufanya jambo hilo!
Rais ni comforter in chief, ita paint picha ya tofauti kama angekuwepo, kaenda dubai kufanya deal gani hilo ? Alafu dubai si flight ya siku moja tu, tena anaetoka dar kwenda mwanza kwa gari anatumia muda mwingi kuliko anaetoka dubai kuja tanzania kwa ndege mkuu, kwahiyo hiyo kauli yako ya sijui kigogo mburahati ifute mkuuKama unamchukulia Rais kama baba yako basi unashangaza sana mkuu. Lini alikusaidia wewe kama baba?
Unadhani kutoka Dubai kuja bongo ni kama manzese na kariakoo?
Aache deal la maana arudi kufanya nini na wakati anao wasaidizi na ameshatoa maelekezo?
Mnataka mumuone pale kwa ground kavaa mabuti anaokoa watu ndo mridhike?
Kama hakuna la maana linaloendelea huko Hanang hadi sasa basi ujue hata angekuwepo mambo yangekuwa hivi hivi.
Nini maana ya kuwa na wasaidizi?
Kwahiyo aje kuwabembeleza, hicho tu?Rais ni comforter in chief, ita paint picha ya tofauti kama angekuwepo, kaenda dubai kufanya deal gani hilo ? Alafu dubai si flight ya siku moja tu, tena anaetoka dar kwenda mwanza kwa gari anatumia muda mwingi kuliko anaetoka dubai kuja tanzania kwa ndege mkuu, kwahiyo hiyo kauli yako ya sijui kigogo mburahati ifute mkuu
Madam why are you cold blooded ? 50 people have died ? Unaijua multiplication effect ya watu hamsini ? Yule ni Rais wa Tanzania na kwa janga kama hilo alitakiwa awe Tanzania, materfact anatakuwa arudi haraka sana ndio moja ya kazi yake hakuna namna she has to be here dunia nzima ndio huwa iko hivyo , tafuta nchi yeyote ambayo nchini tragedy ilitokea alafu kiongozi wa hiyo nchi akawa yupo abroad ana score deals zingine, we tafuta tu alafu leta mifano. Kwanza tunatakiwa tujue dubai kaenda ku score deal gani ili tulinganishe uzito, isije ikawa kaenda kwa personal affairs alafu ashindwe kurudi na janga lililotokea ni kubwa, remember NI KAZI YAKE so she has to be around…Kwahiyo aje kuwabembeleza, hicho tu?
Hujaona ile clip akitoa pole? Nini mnataka? Hugs ?
Bro hii nchi haina kitengo cha uokoaji na dharula? Akirudi nchini yeye ndio atakuwa muokoaji?Madam why are you cold blooded ? 50 people have died ? Unaijua multiplication effect ya watu hamsini ? Yule ni Rais wa Tanzania na kwa janga kama hilo alitakiwa awe Tanzania, materfact anatakuwa arudi haraka sana ndio moja ya kazi yake hakuna namna she has to be here dunia nzima ndio huwa iko hivyo , tafuta nchi yeyote ambayo nchini tragedy ilitokea alafu kiongozi wa hiyo nchi akawa yupo abroad ana score deals zingine, we tafuta tu alafu leta mifano. Kwanza tunatakiwa tujue dubai kaenda ku score deal gani ili tulinganishe uzito, isije ikawa kaenda kwa personal affairs alafu ashindwe kurudi na janga lililotokea ni kubwa, remember NI KAZI YAKE so she has to be around…
haiko hivyoMkuu upo serious kabisa ? Familia inateketea baba mwenye nyumba upo ugaibuni una toa maagizo ? Yan watoto zako wawili wamekufa kwa ajali ya moto we upo dubai unaagiza mazish yafanyike we utakuja tu ?