Madam why are you cold blooded ? 50 people have died ? Unaijua multiplication effect ya watu hamsini ? Yule ni Rais wa Tanzania na kwa janga kama hilo alitakiwa awe Tanzania, materfact anatakuwa arudi haraka sana ndio moja ya kazi yake hakuna namna she has to be here dunia nzima ndio huwa iko hivyo , tafuta nchi yeyote ambayo nchini tragedy ilitokea alafu kiongozi wa hiyo nchi akawa yupo abroad ana score deals zingine, we tafuta tu alafu leta mifano. Kwanza tunatakiwa tujue dubai kaenda ku score deal gani ili tulinganishe uzito, isije ikawa kaenda kwa personal affairs alafu ashindwe kurudi na janga lililotokea ni kubwa, remember NI KAZI YAKE so she has to be around…