Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

Mkuu upo serious kabisa ? Familia inateketea baba mwenye nyumba upo ugaibuni una toa maagizo ? Yan watoto zako wawili wamekufa kwa ajali ya moto we upo dubai unaagiza mazish yafanyike we utakuja tu ?
Kama unamchukulia Rais kama baba yako basi unashangaza sana mkuu. Lini alikusaidia wewe kama baba?
Unadhani kutoka Dubai kuja bongo ni kama manzese na kariakoo?
Aache deal la maana arudi kufanya nini na wakati anao wasaidizi na ameshatoa maelekezo?
Mnataka mumuone pale kwa ground kavaa mabuti anaokoa watu ndo mridhike?

Kama hakuna la maana linaloendelea huko Hanang hadi sasa basi ujue hata angekuwepo mambo yangekuwa hivi hivi.

Nini maana ya kuwa na wasaidizi?
 
Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Harudi...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Pia kuna kitengo cha maaf kwenye ofisi ya waziri mkuu, labda tumuulize waziri mkuu au naibu waziri mkuu kuhusu hili.
Yaani kwamba hiko kitengo hakiwezi kufanya kazi kama Rais hayupo?
Malalamiko mengine ya watu yanashangaza sana.
Basi kusiwe na wasaidizi Rais afanye kazi zote mwenyewe😀
 
Kama unamchukulia Rais kama baba yako basi unashangaza sana mkuu. Lini alikusaidia wewe kama baba?
Unadhani kutoka Dubai kuja bongo ni kama manzese na kariakoo?
Aache deal la maana arudi kufanya nini na wakati anao wasaidizi na ameshatoa maelekezo?
Mnataka mumuone pale kwa ground kavaa mabuti anaokoa watu ndo mridhike?

Kama hakuna la maana linaloendelea huko Hanang hadi sasa basi ujue hata angekuwepo mambo yangekuwa hivi hivi.

Nini maana ya kuwa na wasaidizi?
Rais ni comforter in chief, ita paint picha ya tofauti kama angekuwepo, kaenda dubai kufanya deal gani hilo ? Alafu dubai si flight ya siku moja tu, tena anaetoka dar kwenda mwanza kwa gari anatumia muda mwingi kuliko anaetoka dubai kuja tanzania kwa ndege mkuu, kwahiyo hiyo kauli yako ya sijui kigogo mburahati ifute mkuu
 
Kwaiyo Mh Rais au makamo wake akija ndio watu watafufuka ebu tuache siasa za kitoto mh Rais ni mtu mkubwa ujue mh Rais aanawaidizi wake kuna waziri mkuu, naibu waziri mkuu, waziri mwenye dhamana na hilo tukio haya eneo la tukio yupo mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi, mwenyekiti wa kata na mtaa pia kuna wewe mwanaichi haya hao wote wanafanya nini mpaka umtake Mh Rais kama siyo kasumba ya kipuuzi
 
Rais ni comforter in chief, ita paint picha ya tofauti kama angekuwepo, kaenda dubai kufanya deal gani hilo ? Alafu dubai si flight ya siku moja tu, tena anaetoka dar kwenda mwanza kwa gari anatumia muda mwingi kuliko anaetoka dubai kuja tanzania kwa ndege mkuu, kwahiyo hiyo kauli yako ya sijui kigogo mburahati ifute mkuu
Kwahiyo aje kuwabembeleza, hicho tu?
Hujaona ile clip akitoa pole? Nini mnataka? Hugs ?
 
Madam why are you cold blooded ? 50 people have died ? Unaijua multiplication effect ya watu hamsini ? Yule ni Rais wa Tanzania na kwa janga kama hilo alitakiwa awe Tanzania, materfact anatakuwa arudi haraka sana ndio moja ya kazi yake hakuna namna she has to be here dunia nzima ndio huwa iko hivyo , tafuta nchi yeyote ambayo nchini tragedy ilitokea alafu kiongozi wa hiyo nchi akawa yupo abroad ana score deals zingine, we tafuta tu alafu leta mifano. Kwanza tunatakiwa tujue dubai kaenda ku score deal gani ili tulinganishe uzito, isije ikawa kaenda kwa personal affairs alafu ashindwe kurudi na janga lililotokea ni kubwa, remember NI KAZI YAKE so she has to be around…
 
Bro hii nchi haina kitengo cha uokoaji na dharula? Akirudi nchini yeye ndio atakuwa muokoaji?
 
Back
Top Bottom