BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kosa lake lipi yeye ndie aliyeleta mafurikoHii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.
Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Watu kibao washakuelekeza kuwa ziara imesitishwa, raisi anarejea, ambacho huelewi ni nin?Pole na samahan kukwaza. Nimeghafilika kidogo ..
Lakini hata na hivyo gharama za safari na msafara wa raisi si muhimu sana kujadiliwa hivi sasa kushinda maisha ya walio jeruhiwa na na kupoteza maisha kwa mafuriko huko manyara....
Yes it was planned kuna emergencies ambazo zinakutoa kwenye reli kabisa na mipango ile ya gharama inatibuka kabisa , ndivyo binadamu tupitiwavyo na mitihani ..
Rais hawez endelea na safari anarudi nchini... Akiendelea atashangaza ulimwengu mzima...
Hakuna binadamu anaeweza fanya jambo kwa umakini hali ya kua ana msiba nyumbani....
Huyu huyu samiaa ache kula Bata aje awaokoe watu wali kwama kwenye vifusi atiii aje kuwaokoa watu walio nyuma ya mlima hanang yeye tayali ameshatuma timu ya wataalamu kuwaangalia uwezekano wa kuwepo kwa madini ktk tope HiloHii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.
Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Relax kidogo kwanza,Watu kibao washakuelekeza kuwa ziara imesitishwa, raisi anarejea, ambacho huelewi ni nin?
Wajina wako huyo mpuuz snaaNa wewe acha masihara. Yaani unataka tutafute uzi wa Lucas yule chawa wa kupindukia???
Hebu wakati mwingine tuwe serious!
Sema mama yako sio mama yetu. Unazungumzia katiba hii mbovu ya CCM?Ina maana hata hujui Katiba ya nchi yako inasemaje kuhusu jinsi Mama yetu SSH alivyopatikana?
Comment ya kicheko cha kufungia mwaka😀Hivi, hakuna kifungu kwenye katiba kinachomkosoa rais endapo atafanya makosa flani flani, ama yeye hakosei?
Huko Dubai kuna mgonjwa nani?Kaenda kumuona mgonjwa huwezi jua au tunasubiri nusu mlingotii
Kipara anatrot.Mama yuko ughaibuni akila bata na kufanya udalali wa rasimali zetu, Mr. Plan naye yuko ughaibuni akipambania uhai wake.
Tutafika tukiwa hoi balaa.
Hahahahaaa.... Jamani.Comment ya kicheko cha kufungia mwaka
Niulizo tu.Ehh katiba ya nchi gani hiyo
Ova
Aina hii ya watu wanakera kwa maswali na mitazamo yao kwa kuhisi viongozi ni miungu watu wanaweza kujua nn kitatokea..mafuriko yametokea Raisi hakuwa nchini atarudi kwa ajili ya kutoa Pole shida iko wapi?ndo maana magufuli aliwajibu kwan yeye ndo Ali alileta tetemeko wadwanzi kama hawaUlidhani kuna mtu alijua mafuriko yangekuja?
Pole!Sema mama yako sio mama yetu. Unazungumzia katiba hii mbovu ya CCM?
Unataka aje akupikie ugaliHii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.
Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.