Pole na samahan kukwaza. Nimeghafilika kidogo ..
Lakini hata na hivyo gharama za safari na msafara wa raisi si muhimu sana kujadiliwa hivi sasa kushinda maisha ya walio jeruhiwa na na kupoteza maisha kwa mafuriko huko manyara....
Yes it was planned kuna emergencies ambazo zinakutoa kwenye reli kabisa na mipango ile ya gharama inatibuka kabisa , ndivyo binadamu tupitiwavyo na mitihani ..
Rais hawez endelea na safari anarudi nchini... Akiendelea atashangaza ulimwengu mzima...
Hakuna binadamu anaeweza fanya jambo kwa umakini hali ya kua ana msiba nyumbani....