Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.

Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Kosa lake lipi yeye ndie aliyeleta mafuriko
 
Pole na samahan kukwaza. Nimeghafilika kidogo ..

Lakini hata na hivyo gharama za safari na msafara wa raisi si muhimu sana kujadiliwa hivi sasa kushinda maisha ya walio jeruhiwa na na kupoteza maisha kwa mafuriko huko manyara....

Yes it was planned kuna emergencies ambazo zinakutoa kwenye reli kabisa na mipango ile ya gharama inatibuka kabisa , ndivyo binadamu tupitiwavyo na mitihani ..

Rais hawez endelea na safari anarudi nchini... Akiendelea atashangaza ulimwengu mzima...

Hakuna binadamu anaeweza fanya jambo kwa umakini hali ya kua ana msiba nyumbani....
Watu kibao washakuelekeza kuwa ziara imesitishwa, raisi anarejea, ambacho huelewi ni nin?
 
Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.

Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Huyu huyu samiaa ache kula Bata aje awaokoe watu wali kwama kwenye vifusi atiii aje kuwaokoa watu walio nyuma ya mlima hanang yeye tayali ameshatuma timu ya wataalamu kuwaangalia uwezekano wa kuwepo kwa madini ktk tope Hilo
 
Ulidhani kuna mtu alijua mafuriko yangekuja?
Aina hii ya watu wanakera kwa maswali na mitazamo yao kwa kuhisi viongozi ni miungu watu wanaweza kujua nn kitatokea..mafuriko yametokea Raisi hakuwa nchini atarudi kwa ajili ya kutoa Pole shida iko wapi?ndo maana magufuli aliwajibu kwan yeye ndo Ali alileta tetemeko wadwanzi kama hawa
 
Una hoja Nzuri,lkn Mheshimiwa Rais ameshachukua hatua Muhimu kukabiliana na Janga hili,hatuna Sababu ya kumlaumu.Labda km Ungekuwa na Mapendekezo yako ya nini kifanyike ili kuboresha zoezi la Uokoaji.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kitengo cha maafa kipo chini ya waziri mkuu.

Hao wengine labda kama unataka uwaone tuu!!!!
 
Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania.

Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Unataka aje akupikie ugali
 
Back
Top Bottom