Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
NImepotosha wapi? Nionyesheokay tulia bas usipotoshe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NImepotosha wapi? Nionyesheokay tulia bas usipotoshe
Nimesikia makamo...ni mgonjwa sanaNani ni mgonjwa?
NImepotosha wapi? Nionyeshe
SaaafiHatua ya kwanza amefanya ni kutoa pole kwa wanamanyara wote..
Hatua ya pili katoa maelekezo kwa kamati ya maafa na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa filed 24/7
Tatu amsestisha ziara hiyo ndefu ughaibuni na kureajea nyumbani maramoja kuungana na waTz kuomboleza na kushughulika na Jambo hili...
Na kuyazuia labda 🤷♂️ ila Watanzania khaaaKwahiyo aje kuwabembeleza, hicho tu?
Hujaona ile clip akitoa pole? Nini mnataka? Hugs ?
Unafahamu huko nje ana majukumu gani? Je unazani Kila kazi unaweza kuikatiza tu ili urudi kuwapa comfortability wananchi wako?
Rais ndio anazuia hayo majanga kutokea Ili Nyie nyumbu msiangamie? Wewe utakuwa ni mbuzi
Sio kweli,nini kazi ya kitengo husika? Nini maana ya wasaidizi?Abaki huko Dubai. Nani anamwitaji?. Mnaongea kwa dharau kisa hayajawakuta.
Wakafanye nini? Na wasaidizi wapo?
Fwatilia anachofanya utapata jibu kama kina maslahi au hakina
Ina maana hata hujui Katiba ya nchi yako inasemaje kuhusu jinsi Mama yetu SSH alivyopatikana?Kwani alichaguliwa na nani mpaka awe na uchungu na wananchi wa kawaida? Tatizo kama lingelitokea kwao Zanzibar angeisharudi nyumbani
Raisi yupo njiani anakuja, acheni lawama na kupanicMama yuko ughaibuni akila bata na kufanya udalali wa rasimali zetu, Mr. Plan naye yuko ughaibuni akipambania uhai wake.
Tutafika tukiwa hoi balaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Rais kashotoa maelekezo. vikosi vya uokoaji vipo eneo la tukio wanachapa kazi wew upo ghetto na mkeo mmekumbatiana alafu bla blah nyingi hapa.