Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

NImepotosha wapi? Nionyeshe

Pole na samahan kukwaza. Nimeghafilika kidogo ..

Lakini hata na hivyo gharama za safari na msafara wa raisi si muhimu sana kujadiliwa hivi sasa kushinda maisha ya walio jeruhiwa na na kupoteza maisha kwa mafuriko huko manyara....

Yes it was planned kuna emergencies ambazo zinakutoa kwenye reli kabisa na mipango ile ya gharama inatibuka kabisa , ndivyo binadamu tupitiwavyo na mitihani ..

Rais hawez endelea na safari anarudi nchini... Akiendelea atashangaza ulimwengu mzima...

Hakuna binadamu anaeweza fanya jambo kwa umakini hali ya kua ana msiba nyumbani....
 
Hatua ya kwanza amefanya ni kutoa pole kwa wanamanyara wote..

Hatua ya pili katoa maelekezo kwa kamati ya maafa na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa filed 24/7

Tatu amsestisha ziara hiyo ndefu ughaibuni na kureajea nyumbani maramoja kuungana na waTz kuomboleza na kushughulika na Jambo hili...
Saaafi
 
Kwani alichaguliwa na nani mpaka awe na uchungu na wananchi wa kawaida? Tatizo kama lingelitokea kwao Zanzibar angeisharudi nyumbani
Ina maana hata hujui Katiba ya nchi yako inasemaje kuhusu jinsi Mama yetu SSH alivyopatikana?
 
Back
Top Bottom