Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
 
Hivi huwa najiuliza Shirika ambalo halina mshindani/ lime monopoly biashara ya umeme Nchi nzima linashindwaje kupata faida na kuwa na gharama kubwa kama hizo kumuwekea mtu umeme!!!,Aisee Nchi hii bado sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Huo umeme ni wa rea kama kuna mtu wa mjini alieunganishiwa kwa hio bei tajwa ni wachache ilikua ukilipa bla bla ni nyingi mpka utoe ka hongo au kuna koneksheni ndo mambo yanakua mujarabu
Sio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli
 
Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Ndo maana kulikuwa na kamgomofulani tanesco kwenye new connections,hakika tutaisoma no,hakuna yeyote wa kulitolea maelezo hili,hata waziri kuja na options za kupunguza hiki kitu kizito katika huduma hii muhimu,japo hata installment unalipa nusu nusu mnakatana kwenye bili,kweli mwenyeshibe hamjui mpigamiayo
 
Sio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli
Hakuna aliye mkamilifu, mwendazake alikuwa anatimiza alichokiamini kuna tofauti kubwa sana na sasa, Viatu vyake itachua nusu karne tupate wa kuvivaa vikamtosha labda tumlete Pro Assad.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua .

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli
Sawa muongea facts sisi na majirani zangu huku Dodoma tulipata tabu Kuunganishwa huo umeme naongea nachokijua.kumkumbuka atakumbukwa kama raisi kwa mema na mabaya
 
Hata wakati wanashusha wengine tulishavuta umeme sasa......
Ni saw a Ila haiondoi ukweli kwamba umeme ni huduma muhimu pamoja na kwamba inagharama zake,Ila kukosekana plan b ya kum2liza maumivu huyu muhitaji siyo sawa,kwanini pasiwepo installment hata yenye riba?hivi hata mabenki hayawezi kuwekeza mkamalizana kwenye bili taratibu,hivi kweli kwa mitazamo hii hizo ajira zinazoendana na upatikanaji wa huduma hii zitabebeka huko vijijini,Hapa nadhani waziri Makamba tunategemea uje na ubunifu kidogo au maelezo ya kina.
 
We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua .

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Hata wangeweka umeme bure wangepata faida, sijui wanakwama wapi.
 
Back
Top Bottom