Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

Tanesco nisha deal nao sana hawa riziki hata upange 1m ,lazima still wale wanao kuletea umeme watataka hela yaani 1m ya ofisi na bado watakao kuletea umeme lazima utawalipa. Wataanza nyaya hazipo, mara vikombe havipo, mara mistimu hamna, mita hazijafika,gari halina mafuta.

Elfu 27000 inatosha, kama haitoshi wawaletee umeme hiyo hela nyingine wanakatwa kidogo kidogo kadili wanavyo lipia umeme.
 
Weka receipt ya uliyolipia hiyo Tsh 27,000 hapa mjini na ukaunganishwa umeme
kwani mjini ni wapi?

Yapo maeneo ambayo tanesco wanaya-term kama vijijini lakn kiuhalisia ni mjini tu.
ambapo walinufaika na hiyo favor ya 27.

Mfano ni kongowe, mbele ya kibaha.

Ukiwa mwanza kuna mitaa kama kishili au buhongwa.kote huko walinufaika na hyo 27.

Huko kote si vijijini.
 
Tukiacha chuki,visasi na umbea mama anatupa maisha halisi tulivyo ,mzee alikuwa mfariji na mambo hayaendi,kama kila kitu kilikuwa kwa hela zetu mifuko ya jamii aliunganisha afanye nn??sikaa nimuelewe anayem'attack huyu mama ifike muda ieleweke kuwa kiongozi co kuwa MC ,
 
Back
Top Bottom