GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi huwa najiuliza Shirika ambalo halina mshindani/ lime monopoly biashara ya umeme Nchi nzima linashindwaje kupata faida na kuwa na gharama kubwa kama hizo kumuwekea mtu umeme!!!,Aisee Nchi hii bado sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Sio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu MagufuliHuo umeme ni wa rea kama kuna mtu wa mjini alieunganishiwa kwa hio bei tajwa ni wachache ilikua ukilipa bla bla ni nyingi mpka utoe ka hongo au kuna koneksheni ndo mambo yanakua mujarabu
Ndo maana kulikuwa na kamgomofulani tanesco kwenye new connections,hakika tutaisoma no,hakuna yeyote wa kulitolea maelezo hili,hata waziri kuja na options za kupunguza hiki kitu kizito katika huduma hii muhimu,japo hata installment unalipa nusu nusu mnakatana kwenye bili,kweli mwenyeshibe hamjui mpigamiayoMuda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Wewe ndio muongo hujui lolote. Unataka nikuelekeze mjini tulikounganishiwa kwa 27,000?Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
Hakuna aliye mkamilifu, mwendazake alikuwa anatimiza alichokiamini kuna tofauti kubwa sana na sasa, Viatu vyake itachua nusu karne tupate wa kuvivaa vikamtosha labda tumlete Pro Assad.Sio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli
We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua .Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Yeah! Yote hayo yalifanyika wakati wa Magufuli kwa TZS 27,000.00 tu, tena Jijini kabisa.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Sawa muongea facts sisi na majirani zangu huku Dodoma tulipata tabu Kuunganishwa huo umeme naongea nachokijua.kumkumbuka atakumbukwa kama raisi kwa mema na mabayaSio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli
Kila kitu mkuu.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Ni saw a Ila haiondoi ukweli kwamba umeme ni huduma muhimu pamoja na kwamba inagharama zake,Ila kukosekana plan b ya kum2liza maumivu huyu muhitaji siyo sawa,kwanini pasiwepo installment hata yenye riba?hivi hata mabenki hayawezi kuwekeza mkamalizana kwenye bili taratibu,hivi kweli kwa mitazamo hii hizo ajira zinazoendana na upatikanaji wa huduma hii zitabebeka huko vijijini,Hapa nadhani waziri Makamba tunategemea uje na ubunifu kidogo au maelezo ya kina.Hata wakati wanashusha wengine tulishavuta umeme sasa......
Hata wangeweka umeme bure wangepata faida, sijui wanakwama wapi.We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua .
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app