mushairizi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 290
- 249
Wameunganishwa wameunganishwa wengi mmoja ni mdogo wangu ambaye amewekewa kwa 27000 nililipa mimi na tanesco wamekuja kuweka umeme unawakaUmeshawahi unganisha umeme hapa mjini wakati wa Tsh 27,000/= ?
Wewe jamaa huwa una akili sana ila kosa lako ni moja kukosea kuchagua makolo.Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Mm nipo Dodoma mjini niliunganishiwa mwezi may 2021 kwa 27,000/ tu.Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
vitu viandikwe kwa Evidence na si bla blaa watu tangu kipindi cha magufuli hatukuwahi kusikia unaunganushiwa umeme kwa 27,000 au wewe ulikuwa na connection zako za vishoka kuhujumu shirika.Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Huo umeme ni wa rea kama kuna mtu wa mjini alieunganishiwa kwa hio bei tajwa ni wachache ilikua ukilipa bla bla ni nyingi mpka utoe ka hongo au kuna koneksheni ndo mambo yanakua mujarabu
Wanasubiri 2025 waanze kutumia hotuba za Magufuli kama rejea yakuombea kura.Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Wewe ni popoma kama popoma wengine.Umeme wa REA bei ni 27,000 na Umeme wa Mjini bei ni hiyo toka enzi ya huyo Bwanako Mwendazake hadi sasa.Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
Umakini ukiwepo na 'Urasimu' ukidhibitiwa hilo linawezekana tena hata kwa Tsh 10,000/ tu.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Hongera kwa mdogo wako kupata umeme.Wameunganishwa wameunganishwa wengi mmoja ni mdogo wangu ambaye amewekewa kwa 27000 nililipa mimi na tanesco wamekuja kuweka umeme unawaka
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nguzo na metre ndani ya miezi kadhaa gharama zao zinakuwa zimerudi...umeme si wanauza au ni bure? tena wapo wenyewe (monopoly)!Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Kama ni hivyo kwanini usiunganishiwe tu bure na umeme usiwe unalipa maana hata mabwawa ya kuzalisha umeme ni mali ya Tanesco.We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua .
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Usiseme nchi hii bado sana bali usema Arista bado sana. Magufuli kahubiri dili za tanesco miaka 5 lakini bado unauliza ulegelege wa tanesco, aisee wewe bado sana.Hivi huwa najiuliza Shirika ambalo halina mshindani/ lime monopoly biashara ya umeme Nchi nzima linashindwaje kupata faida na kuwa na gharama kubwa kama hizo kumuwekea mtu umeme!!!,Aisee Nchi hii bado sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Plus cable.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Hizo nguzo na mita ni mali ya nani ?Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?