THIS IS TOO LOWNi wazi umewekeza sana kwenye huu mradi wa Bagamoyo, ndiyo maana huoni kingine chochote bali Mchina na bandari hiyo.
Kwani umekatazwa kufanya tofauti?! Wapi nimetisha, na nimetisha nani?Basi kubali, kwenye mradi huu wa Bagamoyo, tunaweza kufanya tofauti na hivyo unavyopigania, kwani tatizo ni nini, hivyo vitisho vya TRILLION 25?
Acheni porojo za kisiasa na uzalendo fake kwenye mambo ya kiuchumi!!
Taifa lina miaka 60 tangu lipate uhuru, lakini kwa miaka yote hiyo, ilichoweza ni kuua bandari ilizokuta na kushindwa kujenga hata moja gati moja TU! Yaani huo uwezo mmepata sasa?! Ikiwa actual income mnayopata tu haifiki hata hiyo TRN 25 kwa mwaka, ndo mtakuwa na uwezo wa kujenga bandari?!
Hakuna aliyewakataza... jambo muhimu ni kuacha porojo!!! Na porojo ni pale tunapoona miaka 60 yauhuru hamjawahi kujenga bandari yoyote bandari ya hindi halafu sasa ndo mtuambie mnaweza kujenga kwa awamu!!Ni lazima kila sehemu ya mradi huo ijengwe kwa muda huo mfupi, yaani miundo mbinu zote kwa pamoja? Mbona hiyo Lamu wameanza na sehemu ndogo ya ghati tatu pekee?
Pale Tanga kuna Mwambani Port Project chini ya TPA... tuanze na pale basi badala ya kujitia "tunaweza hata sisi wenyewe"!
Kama masharti yapi?!Hata kama masharti ya ujenzi nchi inaona hayana faida nchi ikubali tu hiyo BOT kwa vile "Duniani kote BOT inatumika"?
Wapi nimeitisha nchi?! Yaani kusema ni irrational kujenga larger infrastructure projects kwa mkopo kwa taifa lisilo na uwezo wa kutoa hata huduma bora za afya ni kuwatisha?! Kusema kwamba Hambantota Port ikageuka kuwa loss making project huku ikiendelea kukuza deni la serikali ni kuwatisha?!Halafu sasa unatishia hata mikopo nchi isiitumie kujenga miradi yake, kwa vile Sri Lanka na Bandari yao walishindwa! Mradi huu wa Bandari ya Bagamoyo ni kama inakutoa akili kabisa, usione kingine chochote zaidi ya uchuuzi huo unaotafutwa hapo.
Ina maana hadi leo hufahamu hata Tanzania deni la serikali linaendelea kukua siku hadi siku?!
Jinsi ulivyoongea hapa unaonesha ama huna kabisa uelewa wa masuala ya kiuchumi, na mmebaki tu kukalia kiburi cha akina Magu ambacho hata hivyo wala hakikuweza ku-materialize au ndo unasukumwa na kile ninachokiita Uzalendo Fake!!!Tuliza akili, hatuwezi kukurupuka tu kwa vile kuna PPP na kusahau maslahi mapana ya nchi. Kama mkataba una manufaa kwetu, Bandari ijengwe kwa njia yoyote, iwe mkopo, sisi wenyewe na vidafu vyetu hata kwa miaka ishirini, au hata kwa hiyo BOT.
Naona kinachokusumbua sana wewe na wengine ni uhusika wa serikali kwenye miradi kama hiyo.
Watu aina yako ndo wale wanakuwa na practical idea lakini wanaona bure wafe nayo kuliko kuifanyia kazi kupitia kwa wengine kwa hofu eti watadhulumiwa!!