jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Aug 6, 2023 #1 Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space" Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.
Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space" Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.