Pre GE2025 Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

Pre GE2025 Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.

Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
IMG-20241231-WA0200.jpg
 
hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?

maana amepigika haswa sasahivi :pulpTRAVOLTA:
Naona uawalinda Mbowe ma Wenje kwa vile mmeshawanunua tayari keng..e wewe
 
Naona uawalinda Mbowe ma Wenje kwa vile mmeshawanunua tayari keng..e wewe
relax gentleman,

wadau wataeleza nilichotaka kufahamu,
we baki na mihemko na matusi yako, au ongeza matusi zaidi ikiwa yanakusaidia :pedroP:
 
Back
Top Bottom