Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Umehama kwa Simba TL sasa umehamia kwa mchungaji mwenye maono juu ya kesho ya taifa,siku akisema unakoma kuwa chawa jua kweli utaacha.hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi![]()
