Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Tulia uonehivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
Tetesi!!!🤣Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.View attachment 3189468
Kwanini?Tetesi!!!🤣
Lema sio mjinga kama TAL
Hawezi kuomba nafasi hiyo na sababu za msingi tunazo!Kwanini?
Ni zipi?Hawezi kuomba nafasi hiyo na sababu za msingi tunazo!
Baada ya uchaguzi! Tutaziweka JfNi zipi?
Naona uawalinda Mbowe ma Wenje kwa vile mmeshawanunua tayari keng..e wewehivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
relax gentleman,Naona uawalinda Mbowe ma Wenje kwa vile mmeshawanunua tayari keng..e wewe
Lema na Lissu wanaikimbia nchi nyakati za shidaHabari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.