Umehama kwa Simba TL sasa umehamia kwa mchungaji mwenye maono juu ya kesho ya taifa,siku akisema unakoma kuwa chawa jua kweli utaacha.hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
Mzee wa hovyo utakuwa na bangi unatumia, si kwa kukimbilia kutoa upuuzi huuhivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
Ujanja ni kumpisha sultan Mbowe na timu yake 🤣🤣🤣 tunazidi kuwatambua majuhaTetesi!!!🤣
Lema sio mjinga kama TAL
Mnazo wewe na nani?Hawezi kuomba nafasi hiyo na sababu za msingi tunazo!
relax gentleman,Mzee wa hovyo utakuwa na bangi unatumia, si kwa kukimbilia kutoa upuuzi huu
To be more accurate, sultan Mbowe must goMbowe must go !!!!
Yes, sure ni mchungaji uchwara,Umehama kwa Simba TL sasa umehamia kwa mchungaji mwenye maono juu ya kesho ya taifa,siku akisema unakoma kuwa chawa jua kweli utaacha.
Vuka na chakooo kakaaaaHabari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
Hiyo cv umemwandalia wewe au kakupatia yeye?Yes, sure ni mchungaji uchwara,
alikua mwizi mnyang"anyi wa malori, kawapiga watu nyundo sana, halafu akaokoka, ila saivi ana beti mbaya sana
Punguza bangi basi, Lissu alishambuliwa na serikali ya CCM wakitaka kumuua. Alienda kutibiwa au ulitaka afe?Lema na Lissu wanaikimbia nchi nyakati za shida
ni wazi mambo haya yote na ya ziada yapo kwenye public domain gentlemanHiyo cv umemwandalia wewe au kakupatia yeye?
Lema na Lissu Huwa Wana tabia ya kuikimbia nchi nyakati za shidaNi zipi?
Zitakuwa bangi zimepanda kichwani, Lissu alienda kutibiwa mlipomshambulia kutaka kumuua, Lema mlipoiba uchaguzi 2020 mkataka kumkamata mumuue akalazimika kukimbia aishi ili aweze kupigana vitaLema na Lissu Huwa Wana tabia ya kuikimbia nchi nyakati za shida
Itakua pw sanaHabari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
Familia zao Leo tunavyoongea unafahamu zilikoZitakuwa bangi zimepanda kichwani, Lissu alienda kutibiwa mlipomshambulia kutaka kumuua, Lema mlipoiba uchaguzi 2020 mkataka kumkamata mumuue akalazimika kukimbia aishi ili aweze kupigana vita
Kama msingewashambuli, msingetaka kuwakamata ili kuwapoteza baada ya kuiba uchaguzi wa 2020 familia zao zingekuwa huko ziliko?Familia zao Leo tunavyoongea unafahamu ziliko