Bangi tu hizo zinazungumza wapinzani wanatandikwa na CCM fairly?Huyu Lema ndiyo hovyo kabisa, aisee thats why wapinzani mnatandikwa kila siku na CCM, one of the worst politician kuwahi kutokea nchi hii
Fairly kabisa mzee, unambiwa uchaguzi huu uliopita wa serikali ya mtaa watu walikuwa wanaombwa kugombea kupitia CDM wanakataa, kupata wagombea ilikuwa ni shida, Sasa hadi hapa tunaongea CCM wanawagombea wote kuanzia madiwani, ubunge, na uraisi, na wamejipanga kwelikweli! Nyinyi mpo kwenye vita nni awe Mkiti, Mbowe au Lissu, halafu mwakani mkitandikwa mtalia mmeibiwa!!! NyambafBangi tu hizo zinazungumza wapinzani wanatandikwa na CCM fairly?
Idols wako CCM politicians ndio the best kuwahi kutokea kwa akili yako
Ngoja tuoneBangi tu hizo zinazungumza wapinzani wanatandikwa na CCM fairly?
Idols wako CCM politicians ndio the best kuwahi kutokea kwa akili yako
Wewe chizi mjinga hiyo ndio ilikuwa leseni ya kuandikishap maiti na watoto wa shule? Ndio mliambiwa muwaengue wagombea wa upinzani? Zitto kalalamika kigoma mmewaengua wapinzani wote, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa uchaguzi wa CHADEMA joto lake lilikwishaanza?Fairly kabisa mzee, unambiwa uchaguzi huu uliopita wa serikali ya mtaa watu walikuwa wanaombwa kugombea kupitia CDM wanakataa, kupata wagombea ilikuwa ni shida, Sasa hadi hapa tunaongea CCM wanawagombea wote kuanzia madiwani, ubunge, na uraisi, na wamejipanga kwelikweli! Nyinyi mpo kwenye vita nni awe Mkiti, Mbowe au Lissu, halafu mwakani mkitandikwa mtalia mmeibiwa!!! Nyambaf
Delusional MF, now mnavuana nguo hadharani, hamna mipango yeyote ya uchaguzi 2025, mtakuja kukurupuka August huko, and mtakuja lia mmeibiwa kura, nyie jamaa vilaza kweli kweliWewe chizi mjinga hiyo ndio ilikuwa leseni ya kuandikishap maiti na watoto wa shule? Ndio mliambiwa muwaengue wagombea wa upinzani? Zitto kalalamika kigoma mmewaengua wapinzani wote, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa uchaguzi wa CHADEMA joto lake lilikwishaanza?
Punguza bangi pathetic fool
ZipiHawezi kuomba nafasi hiyo na sababu za msingi tunazo!
Kuna Mtanganyika hajapigika kweli, au huko UVCC na UWT nyie mko vizuri kwa sababu mnalelewa?hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
Wenje ndembendembeWenje kwishaaaaa
Zitaje acha kuongelea chini chini kama uko chooni. Hapa ni JF, fungukaHawezi kuomba nafasi hiyo na sababu za msingi tunazo!
Acha kuzingua. Tetesi hizi nimezitoa mm baada ya kujadiliana na LemaBaada ya uchaguzi! Tutaziweka Jf
Wale COVID-19 waliokuwa kinyemela na Mbowe mmoja wao angefaaHivi hakuna wanawake chadema wa kugombea uenyekiti na makamu mwenyekiti?
Mnyika ni administrator mzuri. I think kwenye hili yuko neutral. Ila sidhani kama atapona kama Lissu atashinda...nadhani John Mnyika akipewa ushirikiano na mwenyekiti mwenye maoni anaweza kufanya kazi nzuri.
..Mnyika ni kama mtu aliyechukizwa na mambo fulani ndani ya chama toka kipindi Dr.Slaa ameondoka.
Mnyika ni administrator mzuri. I think kwenye hili yuko neutral. Ila sidhani kama atapona kama Lissu atashinda.
Amandla...
Mnyika ni administrator mzuri. I think kwenye hili yuko neutral. Ila sidhani kama atapona kama Lissu atashinda.
Amandla...
Baada ya uchaguz kaaa nazo usituambie kwa sabab itakuwa unatunga ulongoBaada ya uchaguzi! Tutaziweka Jf
Kwa hiyo huko canada anapandaga dala dala la buza?hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
ana sumbuaga mno watu kwenye kupata toketi, hujui tu .Kwa hiyo huko canada anapandaga dala dala la buza?
watanganyika kwasasa sidhani hata kama wanazidi mia2, ni wazee kidogo gentleman πKuna Mtanganyika hajapigika kweli, au huko UVCC na UWT nyie mko vizuri kwa sababu mnalelewa?
Anajivunia kuwa mkimbizi Canada! Ahahahahaha!!!hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
alipewa sharti kwamba achague moja, ama mkewe ama yeye ndie anastahili kubaki na kuishi kule kama mkimbizi...Anajivunia kuwa mkimbizi Canada! Ahahahahaha!!!