Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha!alipewa sharti kwamba achague moja, ama mkewe ama yeye ndie anastahili kubaki na kuishi kule kama mkimbizi...
ndio maana yeye anazurura tu humu mjini na mikopo ya kausha damu π
Hii nafasi inamfaa Heche.Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
imekata poa sana! afu mbna anafaa Kwan alikuwa wap muda wote!?Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
Kitakuwa chama Cha wanaharakati π πHabari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
Wewe pathetic fool, mipango gani muhimu kama playground haiko fair, hamtaki tume huru ya uchaguzi, hamtaki katiba mpya itakayohakikisha uchaguzi huru, kwenye uchaguzi mnapora mpaka taratibu zote za uchaguzi.Delusional MF, now mnavuana nguo hadharani, hamna mipango yeyote ya uchaguzi 2025, mtakuja kukurupuka August huko, and mtakuja lia mmeibiwa kura, nyie jamaa vilaza kweli kweli
Tatizo ni huu uchaguzi umeingia sumu. Itakuwa vigumu sana kuuvuka salama...Mnyika yuko smart, na ni muadilifu.
..I hope ataendelea kuwepo Chadema bila kujali nani anashinda.
Mbowe nadhani ni shinikizo kutoka kwenye mfumo agombee uenyekiti maana wanaweza kumhandle kama ambavyo wamefanya toka walipomtoa gerezani baada ya kubumba kesi yao ya uhaini. Whereas Lissu ni unpredictable ana msimamo mkali hawawezi kumhandle...naamini Lissu ni mtulivu na muungwana kuliko watu wanavyomchukulia.
Mkiacha kuwaengua kwenye chaguzi, mbadilishe katiba, muache kuandikisha maiti na watoto wa shule na wafu kwenye chaguzi, iwepo tume huru ya uchaguzi, muache kuwatumia polisi kwenye siasa halafu uje useme utendaji ni zero.Kitakuwa chama Cha wanaharakati π π
Kila mtu ana mdomo ila utendaji na matokeo ni zero
Mi ntamsindikiza..Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468
Hapo Kila mtu ana mdomo ila matokeo ni zero ππMkiacha kuwaengua kwenye chaguzi, mbadilishe katiba, muache kuandikisha maiti na watoto wa shule na wafu kwenye chaguzi, iwepo tume huru ya uchaguzi, muache kuwatumia polisi kwenye siasa halafu uje useme utendaji ni zero.
UWT kwa maneno ya khanga ambayo huwezi kuyathibitisha kwa vitendo mnaweza, endeleeni kupiga vigelegele kumsifia mama anaupiga mwingi kuwaua CHADEMA kama akina Ali Kibao
Sawa kada wa UWT makao makuuHapo Kila mtu ana mdomo ila matokeo ni zero ππ
Mtashindana Kwa mdomo tuuSawa kada wa UWT makao makuu
Tatizo ni huu uchaguzi umeingia sumu. Itakuwa vigumu sana kuuvuka salama.
Amandla...
Ni tofauti na unavyodhani. Mbowe anacheza chess wakati wengi wanacheza checkers. Hayuko emotional. Kwa kukubali maridhiano aliwaweka CCM mahali ambapo ilibidi walegeze kamba. Approach ya Lissu ingewapa kisingizio cha kutolegeza mahali popote. Wangesema tutafanya nini wakati mwenzetu hataki kukaa mezani na sisi! CDM waneonekana unreasonable.Mbowe nadhani ni shinikizo kutoka kwenye mfumo agombee uenyekiti maana wanaweza kumhandle kama ambavyo wamefanya toka walipomtoa gerezani baada ya kubumba kesi yao ya uhaini. Whereas Lissu ni unpredictable ana msimamo mkali hawawezi kumhandle.
Mbowe wangejadiliana kwenye maridhiano hata miaka 6 na hakuna muafaka ila kwa Lissu hawawezi ndio maana hawamtaki, hata humu jukwaani pro CCM wote wamejiunga kumtetea Mbowe
Nyie mtashindana kwa polisi na bunduki wauaji na watekaji wakubwaMtashindana Kwa mdomo tuu
Kwenye maridhiano hayo ndipo kwenye mtihani, wamemtangaza hadi BBC kuwa ni gaidi a very serious crime. Wakatengeneza kesi wakabumba kwenye ushahidi kwa aibu wanakimbilia kwenye maridhiano. USA walijadiliana na Osama?Ni tofauti na unavyodhani. Mbowe anacheza chess wakati wengi wanacheza checkers. Hayuko emotional. Kwa kukubali maridhiano aliwaweka CCM mahali ambapo ilibidi walegeze kamba. Approach ya Lissu ingewapa kisingizio cha kutolegeza mahali popote. Wangesema tutafanya nini wakati mwenzetu hataki kukaa mezani na sisi! CDM waneonekana unreasonable.
Amandla...
Anatosha na chenji inabakiHabari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.
Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
View attachment 3189468