Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
marekani hana nguvu kwa israel, atakachoamua israel ndicho trump atafuata. na tukitaja israel jua tunaongelea wafanyabiashara wakubwa wa madini wenye asili ya kiyahudi wanaoishi na kumiliki marekani na tel aviv.Kwa Marekani anaemtumia Kagame hapatani tena na Rais Trump hivyo Trump anajua na anatafuta njia ya kumuadhibu kwa kipengele cha kuheshimu uhuru wa nchi na uhuru wa kufanya biashara za kimataifa kwa uwazi then Israel atamuunga mkono Trump wote watafuata ndio inayokuja muda si mrefu