Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

ni jambo lisilowezekana, kagame ana connection kubwa na matajiri wa kiyahudi/israel ambao wameshika marekani masikio. ndicho kiburi chake kilipo. hata trump na ujanja wake wote ule, hana sauti kwa myahudi. hadi anatia huruma.
Raisi wa drc ameamua kuwarahisishia. Kile walichokuwa wanapata kupitia kagame sasa watakipata moja kwa moja bila mzunguko kama zaman kwa iyo kagame hana faida tena kwa wazungu maana hana chochote cha kuwafaa katika nchi yake. Mbaya zaidi atapambana na vikwazo. Felix amepiga kwenye mshono.
 
Unafikiri itakuwa rahisi kiivo? Yaan kwamba tamko la Trump ni sheria kwa kila mtu hapa duniani
Naichikia USA kwa sera zake za mambo ya nje. Ila kwa kagame tu hapo hashindwi Tena si kwa nguvu kubwa. Ila tsheke naye Yuko Radhi kugawa mali kwa mabeberu abaki madarakani badala ya kukaa kwenye mazungumzo ili mali zinawanufaishe ndugu zake wakongo
 
marekani hana nguvu kwa israel, atakachoamua israel ndicho trump atafuata. na tukitaja israel jua tunaongelea wafanyabiashara wakubwa wa madini wenye asili ya kiyahudi wanaoishi na kumiliki marekani na tel aviv.
Hoja yako ni nini hasa?
 
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike

Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
atoke madarakani au atoke congo?
 
Naichikia USA kwa sera zake za mambo ya nje. Ila kwa kagame tu hapo hashindwi Tena si kwa nguvu kubwa. Ila tsheke naye Yuko Radhi kugawa mali kwa mabeberu abaki madarakani badala ya kukaa kwenye mazungumzo ili mali zinawanufaishe ndugu zake wakongo
mali zichukuliwe kwa manufaa ya jamii, raia wasiuwawe. atakaye weza kufanikisha hilo binafsi sioni ubaya wake
 
Unafikiri itakuwa rahisi kiivo? Yaan kwamba tamko la Trump ni sheria kwa kila mtu hapa duniani
wewe hujaijua Marekani na nguvu iliyonayo.

Nyie vikaragosi wa Afrika msioweza hata kufadhili bajet zenu angalau kwa miaka miwili bila msaada wa nje mnaiambia nini Amerika😀😀😀
 
Back
Top Bottom