Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Mbona mr. Tolu yeye ka-Interfere domestic affairs za Congo DRC? Kwa hiyo sio kosa kwa monita wa dunia naye amfanyie hayo hayo.Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mr. Tolu yeye ka-Interfere domestic affairs za Congo DRC? Kwa hiyo sio kosa kwa monita wa dunia naye amfanyie hayo hayo.Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
Kwa mantiki hiyo; Tolu anaenda kujikuta yuko anao wakati mgumu mno hapo kwake aumarekani hana nguvu kwa israel, atakachoamua israel ndicho trump atafuata. na tukitaja israel jua tunaongelea wafanyabiashara wakubwa wa madini wenye asili ya kiyahudi wanaoishi na kumiliki marekani na tel aviv.
🤣🤣🤣🤣 ila akili zako!!Ushuzi wa ngararimo sio mchezo😁
Tulia kwanza kunywa majiUnafikiri itakuwa rahisi kiivo? Yaan kwamba tamko la Trump ni sheria kwa kila mtu hapa duniani
Mhh! Ndugu; usiseme hivyo kwani leo ni kwa mwenzako kesho ni kwako. Tunajifunza kwa kuzisoma alama za nyakati.Watanzania ni kama vile tupo vitani na kagame.. Mda wote badala mfanye kazi mnamwaza Kagame ujinga mtupu...
Hivi kumbe bado hajageukia huku? Nilidhani USAID.....Marekani ya Trump ipo kibiashara zaidi ya kisiasa, itafanya biashara na yoyote kwa hiari au kwa shari ili mradi biashara haina makandokando maana Trump anahofia term ijayo wasimuwekee zengwe naona walianza ndio kawazima na dili za kufidia hasara iliowekwa na mtangulizi wake akimaliza huko atageukia huku
a.k.a Donaldinyo.DAUDI TRUMP
Mungu wabariki WazunguWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Mzee hataki ujinga ujinga humu dunianii atamnyoosha kila mmoja.Mungu wabariki Wazungu
😂😂😂😂😂 ila watu mnavituko sana😳 mbona hamkutuambia mapema anautwa Daudi
Hapana nitawapokea nimeandaa kabisa eneo heka tano lenye mahema, sehemu ya kuogelea, vinywaji, huduma ya kwanza na mabembeaSaafi sana, wakimbizi wao wa kike ntawapokea Mimi hapa 😊
Dikteta asiondolewe kwa hiari inapaswa apigwe aliwe supuWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Hahahahahha naona unatetea ndugu zako na hapa bongo mmepungua ghafla mlikimbia nn maana kipindi cha mwendazake mlijazana sana kwetuUkimtoa Kagame madarakani hilo eneo hali itadhidi kuwa mbaya na amani itachelewa sana kurudi otherwise watakuwa wameitoa kafara DRC.
Amani ya DRC haiwezi kupatikana bila RPF na Mulenge wa mashariki.