min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ushuzi wa ngararimo sio mchezo😁We uwe na adabu kwa ngararimo🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushuzi wa ngararimo sio mchezo😁We uwe na adabu kwa ngararimo🤣🤣🤣
Kwa hiyo hapa unataka kusema kuwa marais wa Africa wanabadirishana mabwana? CrapHii hata mimi nimeifikiria.
Bwana mkubwa anachotaka yeye ni rasilimali ndio maana wanamtumia Kagame kulinda maslahi yao, sasa kinachoenda kutokea ni Kagame kutoswa na mabwana zake sababu walichokuwa wanakipata kwa gharama kupitia kwa Kagame, sasa watakua wamepewa full na wakongo wenyewe.
Na vile Kagame ameweka mambo yake hovyohovyo kuyaporomoa itakua ni kugusa tu
Ina maana hujui kuwa miaka yote hizo super power wamekita mizizi huko congo au wewe kwako super power ni 🇺🇸 tuu, na hiyo USA kabla hajaingia lazima wa congo watakufa kama kuku huku mkiwa hapa JF mkifurahia huyo Rwanda kufurushwa.DRc hana akili ilitakiwa ajiunge na super power muda mrefu sana akubali kugawana resources on percentage apate security guarantee
Kagame anachofanya anaiba madini congo kwa kusapotiwa na vinchi kama belgium, china na marekani yenyewe na anawauzia kwa bei ya chini
Bora congo aende akubali kugawana na marekani awe na amani, sehemu yoyote marekani akiweka mguu wote wanakaa pembeni
Ulaya gani trump anajitenga nayo? Wakati anachofanya yeye na na EU permanent members wanafanya the same?Unajua kwann Trump anaanza kujitenga na Ulaya kwenye mambo yanayohusu maslahi yake? mchakato wameanza juzi
kuibiwa lazima uibiwe muhimu ni kuomba ulinzi wa taifa kama marekani ambaye hakuna wa kumgusa popote akiamua kitu, ni bora congo aingie mkataba wa ulinzi na taifa kama marekani ili apate security guarantee ama sivyo utaibiwa na kila mtu ,Ina maana hujui kuwa miaka yote hizo super power wamekita mizizi huko congo au wewe kwako super power ni 🇺🇸 tuu, na hiyo USA kabla hajaingia lazima wa congo watakufa kama kuku huku mkiwa hapa JF mkifurahia huyo Rwanda kufurushwa.
Huyo Felix yeye kazi yake ni kuomba misaada tuWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Some members humu are totally disgusting mkuu anazungumza kana kwamba he's ain't piece of tshiWe Trump akikwambia uolewe utakubali kuolewa?
Jibu lako litafanana moja kwa moja na la kagame kuhusiana na kuambiwa atoke madarakani kwahiyo jibu hilo swali ili tupime kama anaweza au hawezi.
Nadhani ndani mwake mifumo iliharibiwa kwa makusudi na Kabila ili asitawale kwa amani na ndivyo ilivyo, ndio maana haamini mifumo yake yote ya ndani, mpaka pale Palais de la Nation pameharibika sana pananuka usaliti, rushwa na tamaa ya madarakaHuyo Felix yeye kazi yake ni kuomba misaada tu
Noma sana. Habari za ndani za serikali ya marekani zikavuja hadi mbagara.Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Ipo waziKwa hiyo hapa unataka kusema kuwa marais wa Africa wanabadirishana mabwana? Crap
Laurent Kabila aliuawa na walinzi wake ( Mai Mai) mwanae Joseph wakati huo alikuwa China kwa mafunzo ya kijeshi!kabila (ambaye inasemekana kawekeza sana bongo) ni mtusi, jina la kabila alichukua la baba wa kufikia Kabila senior aliyemuoa mama yake kabila akimkuta na watoto wawili, kabila junior na dada yake, wote wapo hai hadi leo. baba wa damu wa kabila alifia msituni kwenye mapigano huko huko congo mashariki. ndio maana ilikuwa rahisi kwa kagame kumwambia kabila junior assasinate baba yake wa kufikia (ndivyo wacongo wanavyodai).
Akimaliza na Kagame waje hapa Bongo waiondoe CCM pia kama wanawezaWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Wewe kuwa na mtazamo kuwa United States itaipa ulinzi congo haitoi jibu la kuwa nchi nyingine zenye nguvu na zinazofaidika kutoka congo zitafuata mlengo wako wala wa USAkuibiwa lazima uibiwe muhimu ni kuomba ulinzi wa taifa kama marekani ambaye hakuna wa kumgusa popote akiamua kitu, ni bora congo aingie mkataba wa ulinzi na taifa kama marekani ili apate security guarantee ama sivyo utaibiwa na kila mtu ,
mwenye nguvu ndio anaokula kuna nchi inaweza kuivimbia marekani kweli?Wewe kuwa na mtazamo kuwa United States itaipa ulinzi congo haitoi jibu la kuwa nchi nyingine zenye nguvu na zinazofaidika kutoka congo zitafuata mlengo wako wala wa USA
Swala la kuvimba unalo wewe mtu mweusi mataifa mengine hata kama sio kuvimba at least they show solidity.mwenye nguvu ndio anaokula kuna nchi inaweza kuivimbia marekani kweli?
marekani alichowafanyia nchi za ulaya kule ukrain umeona kuna solidity gani? zaidi ya kulalamikia pembeniSwala la kuvimba unalo wewe mtu mweusi mataifa mengine hata kama sio kuvimba at least they show solidity.
Mkuu solidarity wewee unaichukulia kuwa nini? Mbona nchi nyingi tuu zilionyesha solidarity either kwa kuandika, matching au hata kupeperusha bendera same as wanavofanya kwa Israel and Palestinmarekani alichowafanyia nchi za ulaya kule ukrain umeona kuna solidity gani? zaidi ya kulalamikia pembeni
Bora iwe hivyo ili watu-raia watulie hata kama madini yatasombwa.Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.