Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

Kwa hiyo hapa unataka kusema kuwa marais wa Africa wanabadirishana mabwana? Crap
 
We Trump akikwambia uolewe utakubali kuolewa?

Jibu lako litafanana moja kwa moja na la kagame kuhusiana na kuambiwa atoke madarakani kwahiyo jibu hilo swali ili tupime kama anaweza au hawezi.
 
Ina maana hujui kuwa miaka yote hizo super power wamekita mizizi huko congo au wewe kwako super power ni 🇺🇸 tuu, na hiyo USA kabla hajaingia lazima wa congo watakufa kama kuku huku mkiwa hapa JF mkifurahia huyo Rwanda kufurushwa.
 
kuibiwa lazima uibiwe muhimu ni kuomba ulinzi wa taifa kama marekani ambaye hakuna wa kumgusa popote akiamua kitu, ni bora congo aingie mkataba wa ulinzi na taifa kama marekani ili apate security guarantee ama sivyo utaibiwa na kila mtu ,
 
Huyo Felix yeye kazi yake ni kuomba misaada tu
 
We Trump akikwambia uolewe utakubali kuolewa?

Jibu lako litafanana moja kwa moja na la kagame kuhusiana na kuambiwa atoke madarakani kwahiyo jibu hilo swali ili tupime kama anaweza au hawezi.
Some members humu are totally disgusting mkuu anazungumza kana kwamba he's ain't piece of tshi
 
Huyo Felix yeye kazi yake ni kuomba misaada tu
Nadhani ndani mwake mifumo iliharibiwa kwa makusudi na Kabila ili asitawale kwa amani na ndivyo ilivyo, ndio maana haamini mifumo yake yote ya ndani, mpaka pale Palais de la Nation pameharibika sana pananuka usaliti, rushwa na tamaa ya madaraka
 
Noma sana. Habari za ndani za serikali ya marekani zikavuja hadi mbagara.
Kweli nimeamini effect ya kuondoa wafanyakazi wa CIA imeanza
 
Laurent Kabila aliuawa na walinzi wake ( Mai Mai) mwanae Joseph wakati huo alikuwa China kwa mafunzo ya kijeshi!
 
Akimaliza na Kagame waje hapa Bongo waiondoe CCM pia kama wanaweza
 
kuibiwa lazima uibiwe muhimu ni kuomba ulinzi wa taifa kama marekani ambaye hakuna wa kumgusa popote akiamua kitu, ni bora congo aingie mkataba wa ulinzi na taifa kama marekani ili apate security guarantee ama sivyo utaibiwa na kila mtu ,
Wewe kuwa na mtazamo kuwa United States itaipa ulinzi congo haitoi jibu la kuwa nchi nyingine zenye nguvu na zinazofaidika kutoka congo zitafuata mlengo wako wala wa USA
 
Wewe kuwa na mtazamo kuwa United States itaipa ulinzi congo haitoi jibu la kuwa nchi nyingine zenye nguvu na zinazofaidika kutoka congo zitafuata mlengo wako wala wa USA
mwenye nguvu ndio anaokula kuna nchi inaweza kuivimbia marekani kweli?
 
Swala la kuvimba unalo wewe mtu mweusi mataifa mengine hata kama sio kuvimba at least they show solidity.
marekani alichowafanyia nchi za ulaya kule ukrain umeona kuna solidity gani? zaidi ya kulalamikia pembeni
 
marekani alichowafanyia nchi za ulaya kule ukrain umeona kuna solidity gani? zaidi ya kulalamikia pembeni
Mkuu solidarity wewee unaichukulia kuwa nini? Mbona nchi nyingi tuu zilionyesha solidarity either kwa kuandika, matching au hata kupeperusha bendera same as wanavofanya kwa Israel and Palestin
 
Bora iwe hivyo ili watu-raia watulie hata kama madini yatasombwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…