Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
Mbona mr. Tolu yeye ka-Interfere domestic affairs za Congo DRC? Kwa hiyo sio kosa kwa monita wa dunia naye amfanyie hayo hayo.
 
marekani hana nguvu kwa israel, atakachoamua israel ndicho trump atafuata. na tukitaja israel jua tunaongelea wafanyabiashara wakubwa wa madini wenye asili ya kiyahudi wanaoishi na kumiliki marekani na tel aviv.
Kwa mantiki hiyo; Tolu anaenda kujikuta yuko anao wakati mgumu mno hapo kwake au
 
Marekani ya Trump ipo kibiashara zaidi ya kisiasa, itafanya biashara na yoyote kwa hiari au kwa shari ili mradi biashara haina makandokando maana Trump anahofia term ijayo wasimuwekee zengwe naona walianza ndio kawazima na dili za kufidia hasara iliowekwa na mtangulizi wake akimaliza huko atageukia huku
 
Watanzania ni kama vile tupo vitani na kagame.. Mda wote badala mfanye kazi mnamwaza Kagame ujinga mtupu...
Mhh! Ndugu; usiseme hivyo kwani leo ni kwa mwenzako kesho ni kwako. Tunajifunza kwa kuzisoma alama za nyakati.
 
Hivi kumbe bado hajageukia huku? Nilidhani USAID.....
 
Kumbe ni tetesi?
Rwanda ni nchi ndogo sana kwa US kutumia nguvu za kijeshi.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Saafi sana, wakimbizi wao wa kike ntawapokea Mimi hapa 😊
 
Dikteta asiondolewe kwa hiari inapaswa apigwe aliwe supu
 
Ukimtoa Kagame madarakani hilo eneo hali itadhidi kuwa mbaya na amani itachelewa sana kurudi otherwise watakuwa wameitoa kafara DRC.

Amani ya DRC haiwezi kupatikana bila RPF na Mulenge wa mashariki.
 
Ukimtoa Kagame madarakani hilo eneo hali itadhidi kuwa mbaya na amani itachelewa sana kurudi otherwise watakuwa wameitoa kafara DRC.

Amani ya DRC haiwezi kupatikana bila RPF na Mulenge wa mashariki.
Hahahahahha naona unatetea ndugu zako na hapa bongo mmepungua ghafla mlikimbia nn maana kipindi cha mwendazake mlijazana sana kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…