Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Kuna Ufalme unatengenezwa hapa
Hela ilimuuza Yesu
 
Me nawahurumia tu wananchi watakaomchagua tena huyo shetani
Wa kuhurumia ni watanzania wanaoipigia kura CCM!! Licha ya uwizi wanaoufanya maCCM, kiukweli, CCM haikupaswa ipate hata kura 100 kwenye uchaguzi wowote ule!
 
Husikii aibu KUB,mbunge na mwenyekiti unatakiwa uwapiganie uwatengenezee madawati na majengo au ndio kazi ni kutunga sheria tu!
Kazi ya serikali hiyo! Serikali inakusanya kodi za nini kama unataka mbunge afanye majukumu ya serikali?
 
Watanzania tusipende kutolewa ktk mstari,hii hamahama ya wabunge si hoja yetu ya msingi,bali hoja yetu ni uchumi mbaya,kulegalega kwa usalama wa raia na mengine mengi.
 
Mpaka 2020 chadema watakua wanapokea ruzuku ya buku 3 kitakua kama CHAUMA au PPT maendeleo
 
Nachofurahi ni kua wasaliti wanazidi kujipambanua na kujiweka wazi,
Hapo mwanzo ingetuwia vigumu kuwagundua lakini sasa wameamua kujipambanua wenyewe ili tuwajue,
Ahsante Mungu kwa kuwapa akili hiyo ya kujiweka wazi.
Kalieni hayo ya usaliti chama kinaisha.
 
Nachofurahi ni kua wasaliti wanazidi kujipambanua na kujiweka wazi,
Hapo mwanzo ingetuwia vigumu kuwagundua lakini sasa wameamua kujipambanua wenyewe ili tuwajue,
Ahsante Mungu kwa kuwapa akili hiyo ya kujiweka wazi.
Kalieni hayo ya usaliti chama kinaisha.
 
Hawa ndio wahujumu uchumi.Kule kwetu Ulaya tungewafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi
 
Hawa ndio wahujumu uchumi.Kule kwetu Ulaya tungewafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi
 
Ipo cku ccm itasambaratka kwa aibu kubwa sana we waache waendelee na biashara haram
 
Hawa ndio wahujumu uchumi.Kule kwetu Ulaya tungewafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi.
 
Kudadadeki, yaani kijana Mbowe asipogeuka kuwa shoga mwaka huu basi. Si Chadema, CUF, wala kile chama cha mazombie cha Zitto (jina limenitoka kidogo) watu wanahama tu na kurudi nyumbani. Kweli Uncle Magufuli karudisha heshima ndani ya nchi....!
 
Wapinzani waache Siasa za ukombozi katika nchi huru. Wakiendelea hv come 2020 siwaoni katika politcal rally! Tunataka Siasa za maendeleo sio hzi sarakasi zao za malalamiko na harakati za ukombozi.!
 
Hajawajua CCM vizuri huyo, soon akijitoa na biashara yake inaishia hapo.
 
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…