Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Yule aliyekuwa na Yesu msalabani aliahidiwa nini?Yesu aliwaajibu mama na ndugu zangu ni wanaolishika neno langu.
Msalabani alimuita ewe mwanamke,
Kwenye maji kuwa divai alimuita ewe mwanamke.
Si zaidi ya hapo
Mariamu hakuwa mama wa yesu,alikuwa kizalishio,kikuzio cha mimba,hakuna chembe yoyote ya uhai ilitoka kwake.
Mariamu hayupo mbinguni muda huu,yupo walipo wakina ibrahim na wengine wakisubiri ufufuo.