Mafundisho ya kirumi na vyoote vilivyomo duniani vitapita
Ila neno la Mungu halitakaa lipitwe kamwe
Hata papa abadili neno na amri kama anavyofanya ili biblia iende na wakati.
NENO LA MUNGU halipitwi na wakati,
2 Wakorintho 6:16-18
[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
[17]Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.
[18]Nitakuwa Baba kwenu,
Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
asema Bwana Mwenyezi.