goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Haikuwepo biblia ila neno la Mungu lilikuwepo.Mpaka Yesu anakufa, mitume wanakufa hakukuwa na Biblia
Biblia ilianza kwnye magombo(ngozi za kuviringisha) mpaka ilipofikia sasa
Hakuna kitabu kiliandikwa na romani katika vile 66 ni Mungu ndani ya watu wake,pamoja na mashahidi tuuu.