Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Hujauliza swali.
Wewe uliza swali lolote la kimaandiko
Sasa unauliza 105 kwani ipo kwenye maandiko
Ama labda ni namba za kiromani
Sasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa Katoliki
 
Utashangaa sana
Hayo padri hatakuambia
Yesu alimwambia mwanamke mtunze mwanao(yohana) na alikuwa akizungumza na mariamu
Pia biblia inasema yohana alikuwa ni ndugu wake na yesu.

Na ukisoma biblia sehemu imeandikwa MWANAFUNZI ALIEPENDWA SANA NA YESU mwisho wa kitabu cha yohana inamtaja kuwa alikuwa yohana
Alikuwa ndie mdogo kuliko mitume wote

Mariamu hakumzaa yesu tuu,
 
Sasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa Katoliki
Vile vitabu vyenu vya pombe ni vya mitume wenu wakiromani.
Huwezi ukaviingiza kwenye biblia mtakatifu .
 
Jifunze kuandika kisha uje
Petro alikuwa hajui kusoma wala kuandika lakini alikabidhiwa funguo

1 Petro 5:12
[12]Kwa mkono wa Silwano, ndugu mwaminifu kama nionavyo, nimewaandikia kwa maneno machache, kuonya na kushuhudia ya kuwa hii ndiyo neema ya kweli ya Mungu. Simameni imara katika hiyo.
By Silvanus, a faithful brother unto you, as I suppose, I have written briefly, exhorting, and testifying that this is the true grace of God wherein ye stand.
 
Utashangaa sana
Hayo padri hatakuambia
Yesu alimwambia mwanamke mtunze mwanao(yohana) na alikuwa akizungumza na mariamu
Pia biblia inasema yohana alikuwa ni ndugu wake na yesu.

Na ukisoma biblia sehemu imeandikwa MWANAFUNZI ALIEPENDWA SANA NA YESU mwisho wa kitabu cha yohana inamtaja kuwa alikuwa yohana
Alikuwa ndie mdogo kuliko mitume wote

Mariamu hakumzaa yesu tuu,
ACHA UWONGO, Yohana wa ufunuo hakuwa ndugu kwa Yesu
 
Sasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa Katoliki
Yatafakari haya
Sikuambii kwa chuki
Ila neno la Mungu ndivyo lilivyo linaumiza pale unapokuwa tofauti nalo ama kinyume chake,ila io haibadilishi ukweli haliis

Haya unaweza usiyasikie maisha yako yote.
Ila yatafakari
 
Vile vitabu vyenu vya pombe ni vya mitume wenu wakiromani.
Huwezi ukaviingiza kwenye biblia mtakatifu .
Hata hiyo biblia unayotumia ni ile ile ila Martin luther ndio alipunguza idadi
 
Yatafakari haya
Sikuambii kwa chuki
Ila neno la Mungu ndivyo lilivyo linaumiza pale unapokuwa tofauti nalo ama kinyume chake,ila io haibadilishi ukweli haliis

Haya unaweza usiyasikie maisha yako yote.
Ila yatafakari
Huwezi kujenga hoja
 
Huwezi kujenga hoja

Hata ukitumia Biblia, huwezi kuthibiti

Nimekuthibitishia kwa maandiko na vifungu,vingine fatilia kwa kina.
Kama utahitaji sana utanitafuta

Mungu hajengi hoja
Hoja na mitazamo master ni ibilisi
Ukianza kujenga hoja umeshamkaribisha shetani.

Kama apo nimekutumia vifungu na bado huviamini basi hukukusudiwa uamini biblia
 
We umeandikwa wapi? Tanzania imeandikwa wapi kwenye maandiko?

Injili ni ya watu wote,kila taifa,laa uendelee na dhambi kwakuwa amri zilipewa kwa Musa kwa ajili ya israel
 
Nimekuthibitishia kwa maandiko na vifungu,vingine fatilia kwa kina.
Kama utahitaji sana utanitafuta

Mungu hajengi hoja
Hoja na mitazamo master ni ibilisi
Ukianza kujenga hoja umeshamkaribisha shetani.

Kama apo nimekutumia vifungu na bado huviamini basi hukukusudiwa uamini biblia
Kifungu kipi ulichoweka ?
 
Hiki kizazi hakitakuwa na udhuru siku ya mwisho
Kwamaana ukweli umesema mpaka kwenye mitandao wakaukataa
 
Kama haya mnayakataa , msidhani mtamwamini yesu atakapokuja mbele yenu,maana ataongea haya haya tunayowaambia
 
Mafundisho ya kirumi na vyoote vilivyomo duniani vitapita
Ila neno la Mungu halitakaa lipitwe kamwe
Hata papa abadili neno na amri kama anavyofanya ili biblia iende na wakati.

NENO LA MUNGU halipitwi na wakati,

2 Wakorintho 6:16-18
[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

[17]Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.

[18]Nitakuwa Baba kwenu,
Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
asema Bwana Mwenyezi.
 
Back
Top Bottom