Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Yule aliyekuwa na Yesu msalabani aliahidiwa nini?
 
Ila msingi wa ukristo ni biblia pekee.
Io ndio tofauti.
Mkristo hana msingi mwingine isipokuwa neno la Mungu tuu.
Ungejua Biblia ni nini, ilitokea wapi mpaka hii unayoona leo hakika ungekuwa Mkatoliki
 
Usijifanye mkristo sana Kuliko Warumi ?
Warumi si wakristo
Warumi ndio walioua ukristo.

Msingi wa ukristo ilishawekwa na mitume tuu
Paulo anasema mssingi amekwisha uweka yeye ajengae juu aufate huoo
Sasa uo msingi wa kirumi ambao unapingana na msingi wa mitume,si ukristo
 
Bila ya hao warumi, hakuna ukristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…