Haikuwepo biblia ila neno la Mungu lilikuwepo.Mpaka Yesu anakufa, mitume wanakufa hakukuwa na Biblia
Nilikua namjibu kua alichoandika ni mapokeo si msimamo wanguSasa unaaminije dogma na kuacha kuamini neno la Mungu.
Unaamini hadithi za kutungwa
Waulize waoMsingi wa kanisa Katoliki si Biblia pekee
Bila ya warumi hakuna uroman .Bila ya hao warumi, hakuna ukristo
Hiyo idadi 66 imetokea wapi ? na kwanini 66 na sio 105Haikuwepo biblia ila neno la Mungu lilikuwepo.
Biblia ilianza kwnye magombo(ngozi za kuviringisha) mpaka ilipofikia sasa
Hakuna kitabu kiliandikwa na romani katika vile 66 ni Mungu ndani ya watu wake,pamoja na mashahidi tuuu.
Kumbe mjukuu wa helen, sasa basi kila hoja yako fungulia uzi, utajibiwaBila ya warumi hakuna uroman .
Ila.ukristo ulikuwepo kabla ya kufika rumi,na utakuwepo nje ya rumi.
Hayo ni mambo umekaririshwa.
Bikira maria
Rozali,
Christmas .
Minada kanisani
Upapa
Upadri
Makao makuu ya roman.
Usister
Maji ya baraka.
Ibada za sanamu
Mifupa ya mapapa kubusiwa
N.k
Huo sio ukristo,
666 ni jina kuu la papa
Anakaa kwenye mji wenye vilima saba
Ni nchi ndni ya nchi
Ufalme wake upo kwenye kila ufalme
Amepambwa kwa dhahabu na mavazi safi.
Mama wa makahaba( madhehebu) na machafuko
Kutoka roman ukristo ndipo ulichafuka na kugawanyika.
Hutaambiwa haya yatafakari fatilia
Usitumie kitabu Cha Mudi kwenye huu mjadala,unachanganya watu na kitabu chenu AbunuasiNdio
Mama wa Yesu jina lake ni Mariamu na sio Maria.
Hata Qurani inatambua hivyo
Na ina sura ya Mariamu
mama yake Isa.
Isa Bin Maria
Soma biblia yakoHiyo idadi 66 imetokea wapi ? na kwanini 66 na sio 105
Hilo ndio jibu lake ?Soma biblia yako
Najua padri hawezi kukusomea ilo
Maisha yake yote,mpaka unaingia kabburini, mtasoma vitabu vile vile kila siku.
Na vingine hata kuvisikia hutavisikia
Aliekuambia mimi mshika siku ni nani??Kumbe mjukuu wa helen, sasa basi kila hoja yako fungulia uzi, utajibiwa
Hio ni kwa ajili ya wakristoHilo ndio jibu lake ?
Kiranja wa 666 ni wao waanzilishi, kama umeyachukua kwao na si mmoja wapo basi wewe ni mtu waoAliekuambia mimi mshika siku ni nani??
Alimzaa yohana wa ufunuoMm nauliza swali bicra maria baada ya kumzaaa yesu aliendeleaa kuzaa tena au aliishia yesu tuu
Huna hoja ukiulizwa swali unakimbiaHio ni kwa ajili ya wakristo
Sasa kama hujawahi kuijua basi niwazi haipo kwa ajili yako
Muanzilishi alikuwa Bwana yesu kristo kulitia yohana mfunuzi,Kiranja wa 666 ni wao waanzilishi, kama umeyachukua kwao na si mmoja wapo basi wewe ni mtu wao
DuhhhAlimzaa yohana wa ufunuo
Huna hoja ukiulizwa swali unakimbia
Jifunze kuandika kisha ujeMuanzilishi alikuwa Bwana yesu kristo kulitia yohana mfunuzi,
Usabato umekuja baada ya yohana kuandika habari za 666
Sasa unasemaje wasabato ni waanzilishi wa ukristo