Haya masuala nadhani mngetuachia sisi wenyewe Wakatoliki. Maana hayakuhusu/hayawahusu. Ok?Maria ndiye Mariamu mkuu. Haya sasa turejee kwenye mada. Huyu Mariamu anayewaombea wakatoliki kwa mwanaye Yesu, yu wapi? Je, bado yupo hai?
Hapa unawaambia nini ambao huamini kua Yesu ni Mungu? kwa mujibu wa andiko lako hapa ni kua Yesu na Mungu ni vitu viwili tofauti,Yesu baada ya kufufuka alipaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Je, Maria yeye yu wapi? Au yeye ndiye ameketi mkono wa kushoto.
Kwani bikra Maria alipaishwa mbinguni kama Yesu mkuu? Hebu tupe kifungu kwenye biblia kinachothibitisha hili.Wewe hauwezi kuzungumza na Mama akamueleze Baba kama unahitaji jambo fulani? Kwenye Harusi ya Kana baada ya Divai kuisha mbona hawakumuendea Yesu moja kwa moja bali walienda kwa mama yake ili akawaombee? Kuna ubaya gani kupitisha maombi yako kwa mama ili yamfikie Baba? Hususan kama una makosa fulani uliyatenda yanayokufanya mpaka unaogopa kwenda kwa Baba.Kuhusu kufa na kufufuka mbona wapo watakatifu wengi tu ambao walikufa miili ila roho zao zi hai, Na wanatuombea kila siku, mfano Yesu alipokuwa mlimani alitokewa na Manabii Musa na Eliya ambao walishakufa zamani, Mifano ni mingi ila kwa leo ngoja tuishie hapa.
Kule Makha Bikira Maria anajulikana kwa Majina haya👇🏽👇🏽👇🏽Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa moja bila kupitia kwa mama yake?
View: https://www.youtube.com/watch?v=V9C1rqOJfxcHili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila majibu lakini nikaona leo nilete hili swali mbele ya wanazuoni wa masuala ya dini mliojaa hapa JF mnisaidie kutegua hiki kitendawili. Mtu yeyote anayefahamu hili suala kinagaubaga naomba anifahamishe nipate kuelewa.
Kwa uelewa wangu mdogo, nafahamu kuwa mtu pekee aliyekufa na kufufuka ni Yesu tu. Sasa huyu bikra Maria ina maana yeye hakufa? Kama bado yu hai yupo wapi? Tunaambiwa Yesu baada ya kufufuka alipaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Je, Maria yeye yu wapi? Au yeye ndiye ameketi mkono wa kushoto?
Maswali ni mengi lakini kwa kuwa humu JF kuna watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya dini, wakiwemo mapdre na maaskofu wa kanisa Katoliki mliomo humu, naomba mnifafanulie kuhusu hili jambo nipatke kufunguka macho.
Asanteni sana.
| Maryam مَرْيَم Mary | |
|---|---|
| Title | al-Qānitah (the Woman who submits to God) al-Sājidah (the Woman who prostrates to God) al-Rāki’ah (the Woman who bows to God) al-Ṣa’ima (the Woman who fasts) al-Ṭāhirah (the Purified) al-Ṣiddīqah (the Truthful) al-Mustafia (the Chosen) |
Yesu hana mama biblia inasema yesu alikuwako tangu mwanzo wa misingi ya ulimwengu kilicho fanyika pale ni yesu kuuvaa ubinadamu ili adhihirishe upendo wake kwa wanadamu, leo hii watu wengi wanasema mungu anatupenda ukiuliza alitufanyia nini tulianguka dhambini lakini bado yupo pamoja nasi hakutuacha hata akaja kutoka mbinguni kukaa nasi hivyo yeye hana mama alikuwako.Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa moja bila kupitia kwa mama yake?
View: https://www.youtube.com/watch?v=V9C1rqOJfxcHili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila majibu lakini nikaona leo nilete hili swali mbele ya wanazuoni wa masuala ya dini mliojaa hapa JF mnisaidie kutegua hiki kitendawili. Mtu yeyote anayefahamu hili suala kinagaubaga naomba anifahamishe nipate kuelewa.
Kwa uelewa wangu mdogo, nafahamu kuwa mtu pekee aliyekufa na kufufuka ni Yesu tu. Sasa huyu bikra Maria ina maana yeye hakufa? Kama bado yu hai yupo wapi? Tunaambiwa Yesu baada ya kufufuka alipaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Je, Maria yeye yu wapi? Au yeye ndiye ameketi mkono wa kushoto?
Maswali ni mengi lakini kwa kuwa humu JF kuna watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya dini, wakiwemo mapdre na maaskofu wa kanisa Katoliki mliomo humu, naomba mnifafanulie kuhusu hili jambo nipatke kufunguka macho.
Asanteni sana.
Sijajua shida zao ni nini hasa!Jina litamkwe na wengine,wao watake kuitika.Haya masuala nadhani mngetuachia sisi wenyewe Wakatoliki. Maana hayakuhusu/hayawahusu. Ok?
Yesu hana mama yeye alikuwako tangu kabla ya maria,Wewe hauwezi kuzungumza na Mama akamueleze Baba kama unahitaji jambo fulani? Bikira Maria ndiye alimzaa Yesu, anamjua mwanaye na aliumia hata wakati anateswa msalabani, Anamfahamu vyema mwanae.Kwenye Harusi ya Kana baada ya Divai kuisha mbona hawakumuendea Yesu moja kwa moja bali walienda kwa mama yake ili akawaombee? Kuna ubaya gani kupitisha maombi yako kwa mama ili yamfikie Baba? Hususan kama una makosa fulani uliyatenda yanayokufanya mpaka unaogopa kwenda kwa Baba.Kuhusu kufa na kufufuka mbona wapo watakatifu wengi tu ambao walikufa miili ila roho zao zi hai, Na wanatuombea kila siku, mfano Yesu alipokuwa mlimani alitokewa na Manabii Musa na Eliya ambao walishakufa zamani, Mifano ni mingi ila kwa leo ngoja tuishie hapa.
Mkuu mimi pia ni mkristo kama walivyo wakatoliki na sote tunatumia biblia moja. Naomba utufumbue macho ili tuijue kweli na tuiishi badala ya kutususia kwa kusema eti haya mambo hayatuhusu. Haya mambo yanatuhusu sana tu.Haya masuala nadhani mngetuachia sisi wenyewe Wakatoliki. Maana hayakuhusu/hayawahusu. Ok?
Nimekuweka andiko na wewe weka andiko toka Biblia ya Kiswahili.MRembo unatumia Biblia ipi ambayo haina jina la Maria ?
Hatu mthamini Kwasababu yesu alikuwako tangu zamani kabla ya maria yesu alikawako yeye hana mama ndivyo alivyo sema kwenye biblia "mimi msinione hivi nilikuwako tangu kuwekwa msingi ya dunia"Kwa nini hamumthamini mama wa Yesu Kristo?Mnadhani katika wananawake wote kwa nini Mungu alimchagua yeye na sio mwanamke mwingine.Mnadhani Yesu hamdhamini mama yake kama ambavyo nyinyi hamumdhamini? Unakuta mtu anasali anasema anamwamini Yesu lakini ni mtu huyohuyo utamkuta anaongea vibaya kuhusu mama yake Yesu.Kama ambavyo na nyinyi mnathamini mama zenu ni hivyo hivyo na Mungu mwana anamheshimu na kumsikiliza mama yake.Kasomeni Ufunuo Bikira Maria ametajwa katika ufunuo,tatizo hamsomi biblia na hata mkisoma hamtaki kuielewa!
Wewe ni mkatoliki muhishimiwa?Nimekuweka andiko na wewe weka andiko toka Biblia ya Kiswahili.
Maneno ya Kashfa yanatoka katika Kichwa cha Mpumbavu tu.
Bila shaka hawa watakuwa wale wenzetu wavaa vibagharashia. Mimi leo siko huko mkuu. Yesu na Mungu ni roho mbili tofauti; sio kitu kimoja mkuu.Hapa unawaambia nini ambao huamini kua Yesu ni Mungu? kwa mujibu wa andiko lako hapa ni kua Yesu na Mungu ni vitu viwili tofauti,
Ufafanuzi tafadhali.
Rudi "sandeskuli"!You've got an empty pumpkin!Hatu mthamini Kwasababu yesu alikuwako tangu zamani kabla ya maria yesu alikawako yeye hana mama ndivyo alivyo sema kwenye biblia "mimi msinione hivi nilikuwako tangu kuwekwa msingi ya dunia"
Tuanze na wewe kwa kunionyesha kwamba hakupaishwa! Tupe kifungu kwamba hakupaishwa.Kwani bikra Maria alipaishwa mbinguni kama Yesu mkuu? Hebu tupe kifungu kwenye biblia kinachothibitisha hili.
Naomba pia utupe mistari ya biblia inayoonesha Yesu kutokewa na manabii waliokufa siku nyingi mkuu.
Vipi nitapata mtoto hali hajanigusa mwanaume yeyote, wala mimi si mwasherati?" (Qur'an 19:20)Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa moja bila kupitia kwa mama yake?
View: https://www.youtube.com/watch?v=V9C1rqOJfxcHili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila majibu lakini nikaona leo nilete hili swali mbele ya wanazuoni wa masuala ya dini mliojaa hapa JF mnisaidie kutegua hiki kitendawili. Mtu yeyote anayefahamu hili suala kinagaubaga naomba anifahamishe nipate kuelewa.
Kwa uelewa wangu mdogo, nafahamu kuwa mtu pekee aliyekufa na kufufuka ni Yesu tu. Sasa huyu bikra Maria ina maana yeye hakufa? Kama bado yu hai yupo wapi? Tunaambiwa Yesu baada ya kufufuka alipaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Je, Maria yeye yu wapi? Au yeye ndiye ameketi mkono wa kushoto?
Maswali ni mengi lakini kwa kuwa humu JF kuna watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya dini, wakiwemo mapdre na maaskofu wa kanisa Katoliki mliomo humu, naomba mnifafanulie kuhusu hili jambo nipatke kufunguka macho.
Asanteni sana.
Huyu shehe wenzake wakimsikia watamuua....anatakuza ukafir.Kule Makha Bikira Maria anajulikana kwa Majina haya👇🏽👇🏽👇🏽
Maryam
مَرْيَم
MaryTitle al-Qānitah (the Woman who submits to God)
al-Sājidah (the Woman who prostrates to God)
al-Rāki’ah (the Woman who bows to God)
al-Ṣa’ima (the Woman who fasts)
al-Ṭāhirah (the Purified)
al-Ṣiddīqah (the Truthful)
al-Mustafia (the Chosen)
Tukio la KusingiziwaTuanze na wewe kwa kunionyesha kwamba hakupaishwa! Tupe kifungu kwamba hakupaishwa.
(Marko 9:2-13; Luka 9:28-36)
Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua Petro, Yakobo na Yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu. Huko, Yesu akageuka sura mbele yao, uso wake ukang'aa kama jua na mavazi yake yakawa meupe kama mwanga. Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.
(Qur'an 19:27-28)"Ewe Maryam! Hakika umeleta jambo kubwa la ajabu. Ewe dada yake Haruni! Baba yako hakuwa mtu mbaya, wala mama yako hakuwa mwasherati."
(Qur'an 19:30)"[Mtoto] alisema: Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Nabii."
Yesu hana mama?Hatu mthamini Kwasababu yesu alikuwako tangu zamani kabla ya maria yesu alikawako yeye hana mama ndivyo alivyo sema kwenye biblia "mimi msinione hivi nilikuwako tangu kuwekwa msingi ya dunia"