Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Sasa inakuwaje dhehebu lao linachechemea duniani halina ushawishi kama Katoliki!?
Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??

Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
 
Yap;Kuna kitu watu wajifunze kwa ulichokiandika.Wanalishwa vitu vibaya hadi na wao kugeuka vituko.
 
Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??

Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
Sa mbona hapa bongo wanambwela tu,,,wamekalia ufisdi na migogoro!?
 
Tunamuandaa Gwaji Boy.....
 
Unataka tukupe siri za kambi eeeh!! Utasubiri sana.
 
Swali langu ni kwanini awe mroma na muislamu??? Kuna nini kati ya watu hawa wawili??
 
Sa mbona hapa bongo wanambwela tu,,,wamekalia ufisdi na migogoro!?uko
Huo ni mtazamo wako.

Catholic pia Kuna changamoto zake ila kila kanisa lina namna yake ya kufanya mambo.

Wenzetu huko wanajua kuhifadhi mambo yao.

Ila sio kwamba hayapo.
 
itakuwa Jesuits wanafanya yao[emoji3][emoji3]

Ni maoni yangu tu.
 
Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??

Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
Kitendo Cha kuwa protestants tu kinawapa udhaifu, yaani wapinzani wanatumia muda Mwingi kukilalamikia chama tawala kuliko kuimarisha chama chao, alafu wao wako makundi mengi, ACT, CUF CHADEMA, CHAUMA nk, the same kwa KKT, ANGLICAN, GWAJIBOY, UPAKO, MACKENZIE, nk
 
marais watatu ndio umeshakuja na uzi? Hizo ni coincidence tu. Hata hivyo ndio waliotangulia kusoma nchi hii.
 
waanglikana wana shule ngapi zilizotaifishwa au unalalamika tu?
 
marais watatu ndio umeshakuja na uzi? Hizo ni coincidence tu. Hata hivyo ndio waliotangulia kusoma nchi hii.
Wewe unaona nchi itakuwa katika hali gani ikiongozwa na sabato!? Au kkkt ambao hata migogoro yao inawashinda kuikabiri hadi kanisa linagawana waumini!! Anglicana nao majnga matupu wanatwangwana ngumi knsan na kesi zisizoisha mahakamani,,,,,Nchi ikae mikononi mwa wakatoliki mpaka hawa wengine wajitambue
 
Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.

Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.

Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Hata Vatican haimtambui kama ni mkatoliki hadi papa alitoa amri asimzike vile anashikilia misimamo hasi ya kikatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…