Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Umesoma mada ukaielewa au umerukupu kutoka huko ulipo kuwa ukaja kudandia tren kwa kwa mbele?
 
This is a sensitive topic tumeisha izungumza sana humu Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?." na Ni upuuzi kuwagawa watanzania kikanda,kikabila na kidini! na Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini! na Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir
P
 
Na akiwa muislamu awe wa dhehebu gani!? Maana waislamu nao Wana madhehebu yao
Dhehebu lenye kujua thamani ya raia wote wa Tanzania kwa usawa wao wa dini na madhehebu yote.....

Dhehebu lisilotanguliza ubaguzi wa waislamu wengine na waumini wa dini nyingine hata za mizimu.....

Dhehebu lenye kutaka kuiona Tanzania ikibaki hivihivi na AMANI na usalama wake......

Dhehebu lisilopinga demokrasia isiyovunja umoja wa watanzania......

Si wengine ni MASUFI........

Mwenyezi Mungu atulinde BAKWATA yetu......aaaamin aaaamin [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Walinyang'anywa lakini hawakubweteka walisongambele, ukikuta kanisa na shule pembeni tambua kabisa hiyo shule ilikuwa yakanisa
 
Acha fix mkuu, Hivi unaweza kuhesabu idadi ya shule zote za kikatoliki ambazo leo ni za serikali zinaweza kuwa nyingi pengine kuliko hata hizo zote unazolalamika kuchukuliwa!! Shule kongwe na kubwa unazosikia leo nyingi zilikuwa za wakatoliki sema jamaa wanazidi kujenga kila leo kitu unachoweza kuhisi labda hawakuchukuliwa zao


Kwa maeneo hao nadhani kwa maeneo mengi hapa nchini ndio wamekuwa wa missionary wa mwanzo sana kitu kilichopelekea kuwa na maeneo makubwa sana nchini
 
Ningekuwa mkristo ningechagua UKATOLIKI.....

Usiniulize kwanini full stop!

#SiempreJMT[emoji120]
 
Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??

Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
Tanzania ni moja ya nchi yenye protestant wengi zaidi duniani.Ila ukienda hapo Rwanda tu hakuna protestant! Europe kuna Anglicans wengi lakini bado odadi yao haifikii Catholics overall
 
Lile linaitwa la popote!
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye protestant wengi zaidi duniani.Ila ukienda hapo Rwanda tu hakuna protestant! Europe kuna Anglicans wengi lakini bado odadi yao haifikii Catholics overall
They have had "heads" for quite some generations!
 
Sidhani kama huwa wanapenyezwa au wanatayarishwa hiyo hutokea kama coincidence tu !! Je na Waislamu wa dhehebu la Sunni huwa wanafanyaje kupenyeza watu wao kuwa Marais wa Nchi ??!! πŸ˜… Mbona hawajatokea wa dhehebu jingine ??!! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Protestants.


Hasa hasa Hawa wa Evangelical au waite KKKT kwa hapa wapo 25% ya population ila protestants wote ni kama 50 ya population.

Catholics ni 20% tu.
Ukiwa unamaanisha waislamu ni 5% tu???😲😲😲😲😲
 
Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Ni lazima kivipi. ?! Kwahiyo na kwa upande mwingine Rais ni lazima awe wa dhehebu la Sunni ?! Maana mpaka sasa ndivyo ilivyo !!
 
Ningekuwa mkristo ningechagua UKATOLIKI.....

Usiniulize kwanini full stop!

#SiempreJMT[emoji120]
Kimsingi Ukristu ni ukatoliki. Hawa wengine waliona masharti magumu wskajitoa, wakawa wanaitwa " waprotestant" kama ingekuwa kwenye Uislam wangeitwa " murtad" hivyo wanafanya mambo mengi ambayo ni kinyume na ukristu na lawama zinakuja kwenye ukristu kumbe walishajitenga siku nyingi na kuanzisha taratibu zao ambazo Zina utofauti na Kanisa la mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…