ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Umesoma mada ukaielewa au umerukupu kutoka huko ulipo kuwa ukaja kudandia tren kwa kwa mbele?Wakatoliki walijitambua mapema wakaweka taasisi za elimu na mafunzo kwa wanafunzi wao. Kumbuka Shule za Mission.
Wakati wakatoliki wanafungua Shule na kusomesha watu wao, wengine wanaandamana kuvunja mabucha ya nguruwe;
Wakati wakatoliki wanafungua Shule na kusomesha watu wao, wengine wako kwenye mihadhara ya Yesu si MUNGU;
Wakati wakatoliki wanafungua Shule na kusomesha watu wao, Wengine wanazunguka kuhubiri maji na mafuta.
Aliyekuambia vitu hivyo vinaongoza Nchi ni Nani?
Wakatoliki walifanikiwa kuwekeza katika elimu, tena elimu yenye mashiko.