Wakatoliki, kama ulikuwa hujui hii ndio sehemu pekee ya kuongea na Mungu wako

Wakatoliki, kama ulikuwa hujui hii ndio sehemu pekee ya kuongea na Mungu wako

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,787
Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)

Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.

Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.

Fanya siku moja.
 
Hayo ni maoni /mawazo yako tu na hayawezi kuungwa mkono na maandiko matakatifu
 
Naomba maelezo ya kina hapa mkuu
Hakuna Mungu unayeongea naye hapo, hiyo inaitwa NEURO-HYPNOTISM, stage zake ni
  1. Belief
  2. Imagination
  3. Conviction and;
  4. Expectation
Tena wale wenye nyimbo wanazoita za "KUABUDU" zina-play role kubwa kwenye hii kitu..
 
Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)

Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.

Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.

Fanya siku moja.
ma padre hawa hawa wanao okotwa kwenye mitaro🤔

Arafu kusisimka nywele sio ishara ya uwepo wa Mungu, hiyo ni ishara ya pepo wa baya

Soma Ayubu 4;15
 
Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)

Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.

Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.

Fanya siku moja.
Siku zingine Mungu anaweka pamba masikioni, woow. Huo mnaofanya hapo ni uchawi kama wa kalumanzila tu, mnageuza mkate kuwa mwili, kama sio ushirikina ni nini?
 
unafikaje pale sasa ?
 
Hizi dini bana😁😂😂 upuuzi mtupu, huyo Mungu wenu mnaeaminishwa na viongoz wenu+vitabu vyenu kuwa ana nguvu, why awe na mirorongo mingi sana ya kuelewa mahitaj ya viumbe wake?, sasa anatofaut gan na ile mizimu na mashetan yanayoombwa siku maalum, muda maalum? na sehemu maalum kwa masharti maalum? ,hamuon kuwa huyo Mungu wenu anakosa sifa za Uwepo mahala popote?, sifa ya kuyajuwa mawazo yako, sifa yakuwa limited imejawa kwa Mungu wa hizi imani ngeni.

Ni kwel ukiwa ktk ibada za hizi dini sometime mwili husisimka zikiwepo nywele na hata kujihisi utofaut ktk mwil wako(inner feeling) na hatimae kwa baadhi yenu kujiihisi ni Roho sjui wa utakatifu kwaingia ama kunena kwa lugha😂😂.

Thats all is nonsense, hamna tofaut na waganga, wapiga ramli na waabudu mizim maana nao vilingeni huenda muda maalum kwa siku maalum na sadaka pia kwa waganga wana hiyo tabia yakuwa na inner feeling ambapo baadae huanza kunena kwa lugha za ajabu, na ndizo hizo hizo wachungaj wenu na ninyi wafia dini hunena pasipo kujua unachokinena😂.

Ushetan mtupu umetapakaa, kama hujui, basi elewa kwanzia sasa, yule mliyeaminishwa ni shetan mbaya, wala hayupo hivyo, ni bonge moja la handsome likiwa na wafuasi wake maelfu wenye vyeo tofaut na kazi tofaut.

Huko makanisan+misikitin ndiko makazi ya hawa viumbe ambao ndio huwapa feeling za uwepo wao mujihisi kujawa Roho mtakatifu, pia kuwapa uwezo wa kunena lugha zao ambazo kimsing hata ninyi wanenaji hamzijuwi, pia kuwahadaa kwa miujiza feki.

Shetan sio mjinga aache makanisa na misikiti ifanye kazi ya kupambana nae, wakat hii dunia anaimiriki by90% na kila aina ya dini na mafundisho, yapo chini yake, na mnamuabudu ktk majina tofaut kwa vificho.

Haya nayoyaandika nina uhakika, kama huamin mfuate kiongozi wako mkubwa wa dini mybe askofu, nadhani ukifanikiwa kumshawishi atakueleza jambo litakalo uvunja moyo wako na kukuuzunishwa why ulpoteza muda wako mwngi kuabudu usichokifaham😁😂.

Ukweli mchungu, Muumba wa kwel haitaji mashart ktk kumuomba wala hahitaji usaidizi wa viongoz wa kidin ktk kuomba matatz yako, maana anajua kila kitu kukuhusu, na huna haja ya sadaka, utii wa sheria zake ndio kutatuka kwa matatizo yako.

Waafrika mmeshakuwa watumwa wa imani za kijinga ndioamaana siku hizi ni rahisi kuona mnaendeshwa na matatizo ya kila namna.

Maalum, na sehwm maalum
 
Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)

Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.

Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.

Fanya siku moja.
Ni kweli, sitasahau nyakati nikiwa katika vita halisi kwenye ulimwengu wa nyama na nguvu za giza huku kila pigo likiinuka! Niliamua kwenda kuongea na Mungu kwa ukimya lakini kwa uchungu mbele ya Ekaristi pale St Joseph wiki nzima kila siku mfululizo.

Nikashuhudia adui mkuu akiomba lunch private na mimi na kuniomba radhi! Baada ya hapo ukatokea mlango mwingine bora zaidi wiki hiyo hiyo nikasonga mbele! Kama hayajakukuta huwezi elewa nguvu ya Mungu mkuu unapomuendea kwa dhati.
 
Yaani wa katoliki wengi huwa wanaona kama vile ukatoliki wao ndio lango la kuingia mbinguni kumbe ndio yule mwanamke alie valishwa nguo za dhambarau na dhahabu.Ule ubani pale kwenye altare ile ni connection ya mapepo huwa yanaitwa kama hamuelewi.
 
Siku zingine Mungu anaweka pamba masikioni, woow. Huo mnaofanya hapo ni uchawi kama wa kalumanzila tu, mnageuza mkate kuwa mwili, kama sio ushirikina ni nini?
Ndiyo ni ushirikina wa maana ya ushirika wa binadamu na MUNGU.

Ulichonyimwa ni ufahamu wa kawaida tu wa binadamu aliyefikisha umri wa miaka18.
 
Pope Audiance Hall

Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971

Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka

Screenshot_20210304-115353.png

Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.

Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.

Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.

Screenshot_20210303-122710.png

Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.

Screenshot_20210304-115842.png

Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.

Screenshot_20210303-123446.png

jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani

SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA

Screenshot_20210303-123300.png

La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa

Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata

Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,

Screenshot_20210304-115517.png

Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.

Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao

Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.
 
Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)

Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.

Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.

Fanya siku moja.
Nani amesema / aliandika?

Wapi?
 
Asante mkuu, Mimi nimekuelewa Sana
na nitalifanyia kazi. Hakika Mungu anajibu
 
Back
Top Bottom