Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Shetani kajiinuaFicha ujinga wako tafadhali
Shetani kajiinuaFicha ujinga wako tafadhali
Ni nani?Yesu sio mtu
Ni MunguNi nani?
Ona aibu,Mungu anaenda kufanya nini chooni?Ni Mungu
Yesu ni Mungu aliyeuvaa mwili wa ubinaadam ili kutukomboaOna aibu,Mungu anaenda kufanya nini chooni?
Mungu anaenda kufanya nini chooni, ona aibu basi, khaaa!!!! Ona aibuuuuu!!!!Yesu ni Mungu aliyeuvaa mwili wa ubinaadam ili kutukomboa
Kama maneno ya Adam na Hawa kula tunda yasivyo utani?View attachment 2270355
Thread 'EKARISTI TAKATIFU' https://www.jamiiforums.com/threads/ekaristi-takatifu.1395886/
SjakuelewaKama maneno ya Adam na Hawa kula tunda yasivyo utani?
Dah[emoji28][emoji28][emoji28]Liwe la kike zuri ili nilikaze
HakikaMimi Ekaristi imenitendea sana nilifika kuabudu chang'ombe kanisani niliyoyapata kweli Ekaristi Takatifu ni utukufu [emoji7]
We ndugu yangu ni kiazi kweli. We unajua maana ya ushirika wewe?😁Mungu hana mshirika, huyo mnaeshirikiana nae mnajua nyinyi wenyewe , ila sio Mungu.