Ndiyo umeandika nini hapa ewe kizazi cha nyoka?Hizi dini bana😁😂😂 upuuzi mtupu, huyo Mungu wenu mnaeaminishwa na viongoz wenu+vitabu vyenu kuwa ana nguvu, why awe na mirorongo mingi sana ya kuelewa mahitaj ya viumbe wake?, sasa anatofaut gan na ile mizimu na mashetan yanayoombwa siku maalum, muda maalum? na sehemu maalum kwa masharti maalum? ,hamuon kuwa huyo Mungu wenu anakosa sifa za Uwepo mahala popote?, sifa ya kuyajuwa mawazo yako, sifa yakuwa limited imejawa kwa Mungu wa hizi imani ngeni.
Ni kwel ukiwa ktk ibada za hizi dini sometime mwili husisimka zikiwepo nywele na hata kujihisi utofaut ktk mwil wako(inner feeling) na hatimae kwa baadhi yenu kujiihisi ni Roho sjui wa utakatifu kwaingia ama kunena kwa lugha😂😂.
Thats all is nonsense, hamna tofaut na waganga, wapiga ramli na waabudu mizim maana nao vilingeni huenda muda maalum kwa siku maalum na sadaka pia kwa waganga wana hiyo tabia yakuwa na inner feeling ambapo baadae huanza kunena kwa lugha za ajabu, na ndizo hizo hizo wachungaj wenu na ninyi wafia dini hunena pasipo kujua unachokinena😂.
Ushetan mtupu umetapakaa, kama hujui, basi elewa kwanzia sasa, yule mliyeaminishwa ni shetan mbaya, wala hayupo hivyo, ni bonge moja la handsome likiwa na wafuasi wake maelfu wenye vyeo tofaut na kazi tofaut.
Huko makanisan+misikitin ndiko makazi ya hawa viumbe ambao ndio huwapa feeling za uwepo wao mujihisi kujawa Roho mtakatifu, pia kuwapa uwezo wa kunena lugha zao ambazo kimsing hata ninyi wanenaji hamzijuwi, pia kuwahadaa kwa miujiza feki.
Shetan sio mjinga aache makanisa na misikiti ifanye kazi ya kupambana nae, wakat hii dunia anaimiriki by90% na kila aina ya dini na mafundisho, yapo chini yake, na mnamuabudu ktk majina tofaut kwa vificho.
Haya nayoyaandika nina uhakika, kama huamin mfuate kiongozi wako mkubwa wa dini mybe askofu, nadhani ukifanikiwa kumshawishi atakueleza jambo litakalo uvunja moyo wako na kukuuzunishwa why ulpoteza muda wako mwngi kuabudu usichokifaham😁😂.
Ukweli mchungu, Muumba wa kwel haitaji mashart ktk kumuomba wala hahitaji usaidizi wa viongoz wa kidin ktk kuomba matatz yako, maana anajua kila kitu kukuhusu, na huna haja ya sadaka, utii wa sheria zake ndio kutatuka kwa matatizo yako.
Waafrika mmeshakuwa watumwa wa imani za kijinga ndioamaana siku hizi ni rahisi kuona mnaendeshwa na matatizo ya kila namna.
Maalum, na sehwm maalum
SawaNi pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka)
Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako.
Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo.
Fanya siku moja.
Wasabato mmekatwa vichwa kweli, acheni imagination za ukichaa. Hata wewe umefanana na nyoka nenda kasome embryology 😂 Nabii wa kike Ellen Gould White kawapoteza, yule alikuwa mwendawazimu ndo maana alipata zile ndoto za ajabu.Pope Audiance Hall
Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971
Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka
![]()
Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.
Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.
Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.
![]()
Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.
![]()
Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.
![]()
jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani
SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA
![]()
La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa
Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata
Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,
![]()
Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.
Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao
Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.
Punguza hasira unakataa nini na bible imewaambia ukweli??acheni mambo yenu njoo huku dini ya kweli ni sabatoWasabato mmekatwa vichwa kweli, acheni imagination za ukichaa. Hata wewe umefanana na nyoka nenda kasome embryology 😂 Nabii wa kike Ellen Gould White kawapoteza, yule alikuwa mwendawazimu ndo maana alipata zile ndoto za ajabu.
hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.Pope Audiance Hall
Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971
Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka
![]()
Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.
Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.
Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.
![]()
Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.
![]()
Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.
![]()
jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani
SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA
![]()
La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa
Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata
Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,
![]()
Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.
Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao
Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.
kilichopostiwa na ulic
hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.View attachment 2270508
nafikiri sijakebehi mtu ikiwa nimekebehi basi hata weww umekebehi dini za wenzio pia,.Jinga kabisa katoe makamasi yako huko aisee usirudie tena kuni kebehi kiwango hicho kwani shida iko wapi au??
Me too wengine tunakula bwana huku tunaperuzkilichopostiwa na ulic
hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.View attachment 2270508
Me too wengine tunakula bwana huku tunaperuz
Mtu ana jini mahaba linakerwa na mazingira ya kanisa lina react kwa kusisimua mwili yeye anahisi ndio uwepo wa Munguma padre hawa hawa wanao okotwa kwenye mitaro🤔
Arafu kusisimka nywele sio ishara ya uwepo wa Mungu, hiyo ni ishara ya pepo wa baya
Soma Ayubu 4;15
Acha upagani wako nyamoheneSiku zingine Mungu anaweka pamba masikioni, woow. Huo mnaofanya hapo ni uchawi kama wa kalumanzila tu, mnageuza mkate kuwa mwili, kama sio ushirikina ni nini?
aisee punguza kiburinafikiri sijakebehi mtu ikiwa nimekebehi basi hata weww umekebehi dini za wenzio pia,.
jitahidi uww unajikita kwenye madaView attachment 2270517
Hakuna jini duniani ni hallucinations tu za watuMtu ana jini mahaba linakerwa na mazingira ya kanisa lina react kwa kusisimua mwili yeye anahisi ndio uwepo wa Mungu
We jamaa bana [emoji23][emoji23]Mtu ana jini mahaba linakerwa na mazingira ya kanisa lina react kwa kusisimua mwili yeye anahisi ndio uwepo wa Mungu
Asante mchuchupole kipenz[emoji23][emoji23]
😂 umevalisha uswaz nowTabia za kwenye taarabu unaleta huku punguza kiburu
aisee punguza kiburi