Wakatoliki, kama ulikuwa hujui hii ndio sehemu pekee ya kuongea na Mungu wako

Ndiyo umeandika nini hapa ewe kizazi cha nyoka?
 
Sawa
 
Wasabato mmekatwa vichwa kweli, acheni imagination za ukichaa. Hata wewe umefanana na nyoka nenda kasome embryology 😂 Nabii wa kike Ellen Gould White kawapoteza, yule alikuwa mwendawazimu ndo maana alipata zile ndoto za ajabu.
 
Wasabato mmekatwa vichwa kweli, acheni imagination za ukichaa. Hata wewe umefanana na nyoka nenda kasome embryology 😂 Nabii wa kike Ellen Gould White kawapoteza, yule alikuwa mwendawazimu ndo maana alipata zile ndoto za ajabu.
Punguza hasira unakataa nini na bible imewaambia ukweli??acheni mambo yenu njoo huku dini ya kweli ni sabato
 
kilichopostiwa na ulic
hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.
 
Jinga kabisa katoe makamasi yako huko aisee usirudie tena kuni kebehi kiwango hicho kwani shida iko wapi au??
kilichopostiwa na ulic

hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.View attachment 2270508
 
Ndugu zangu katika imani kutoka Rome hampendi ukweli ukianza kufukuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Tubishane kwa hoja, nje ya mada lakini

"Mbona divai anakunywa Padre tuu waumini sioni mkinywa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…