Wakatoliki, kama ulikuwa hujui hii ndio sehemu pekee ya kuongea na Mungu wako

kilichopostiwa na ulic

hokoment tofauti ni wazi unachuki nyingi pembeni na unatamani mada km hizi ziwe zinaanzinshwa ili uwe unakoment vidude vyako dp yako tu tofauti na usabato kigupi utakuwa jasusi mfarakanishi.View attachment 2270508

Tumsifu yesu krist mkuu Me too

Hizo kamasi umezingua πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ mda wa lunch huu tunakula huku tunaperuzi Jf
 
Siku zingine Mungu anaweka pamba masikioni, woow. Huo mnaofanya hapo ni uchawi kama wa kalumanzila tu, mnageuza mkate kuwa mwili, kama sio ushirikina ni nini?
Unataka kutuambia Yesu alipogeuza maji kuwa divai/mvinyo alikuwa anafanya jambo la kichawi?
 
Hakuna Mungu unayeongea naye hapo, hiyo inaitwa NEURO-HYPNOTISM, stage zake ni
  1. Belief
  2. Imagination
  3. Conviction and;
  4. Expectation
Tena wale wenye nyimbo wanazoita za "KUABUDU" zina-play role kubwa kwenye hii kitu..
Bora uwaambie. Waafrika wa kizazi cha sasa tunatakiwa tuanza kufuta ujinga wa Mungu wa Ibrahim. Mababu zetu walitekwa wakatekeka.
 
Ficha ujinga wako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…