'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

Shida siyo hao unaowasema

Tatizo la nchi hii ni hao jamaa zako wavaa magauni ambao wanaishi kwa masterbation

Nimewatetea Wakato-link kwamba ikiwa wanafanya shughuli zao kama upandaji miti n.k. wanakosea wapi?

Wakatoliki na Wakato-link wote wana haki ya kuabudu.

Ni kama vile Mahakama kuu ilipotoa hukumu kwamba BAKWATA si uwakilishi wa Waislam wote. Vikundi vingine vina haki pia.

Hoja kuu ni watu wasichanganye shughuli za Wakatoliki na zile za Wakato-link. Hilo tu

JokaKuu
 
Back
Top Bottom