min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huyu mama hata kama anamsapoti Mama Samia hakupaswa kuongea mbele ya umma. Kwanz hakuna mkatoliki anayebeba hii biblia ya kiprotestanti. Pia kakosea kutaja jina la jumuiya yake na mwisho kamaliza kwa kusema "kwa jina la baba mtakatifu".
Kama kuna kiongozi wa CCM yuko nyuma ya haya mambo aache kwa sababu hayana faida kwa chama zaidi ya kukichafua chama.
View: https://www.instagram.com/reel/DUBgb8Witud/?igsh=MXU5aWtqeDEwMHV5dA==
Wewe mwamba huwa hata ukifanya uchawa , huwa unabaki na akili yako ,kwa hilo kongole sana bwashee