'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

HAO NI WAUMINI WENU KENGE NYINYI

WAISLAM WANAVAA HIJJAB NA SITARA NA SIYO HAO WAUMINI WENU

SASA MNAWAKATAA WAUMINI WENU KISA WANASIMAMIA MAONO YAO??

PAMBANENI NA HALI ZENU KENGE NYINYI
Hao kwa haiba zao tu lazima watakuwa ni ndugu zako ktk imani, kichwani wamejaza makamasi sawa sawa na samuya!.
TEC imemkimbiza samuya siku hz anaishi ndani kama utumbo...nchi hii lazima iendeshwe kwa miongozo yao kama hutaki basi jitoe mhanga we gaidi!
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Hawa watu wanaokubali kutumika kijinga jinga ni ******* plus.
 
WAUMINI WA KANISA HAWANA SHIDA KABISA...TATIZO NI WALE JAMAA WAVAA MAGAUNI WALIOKATAA KUOA NA KUISHI KWA NYETO...WANA SHIDA SANA KENGE WALE
yaani nyie mashekhe na watu wenu ndio akili zenu zilipoishia hapa
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Hii njaanuary tutasikia mengi. Yaani sh f10 tu zinawatoa binadamu utu? Hivi hawa makabwela wataendelea kutumika mpaka lini jamani?
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Hii kata ya Yombo Dovya ndiko anakokaa yule "mkatoliki" wa "askofu Luwacha". Naona ameamua kuwatumia wapuuzi wenzake, yeye amejirudisha nyuma kwa muda mpuuzi yule!
 
Hakuna wakatoriki hapo - hii nchi mizuzu ni mingi kuliko werevu.
 
Back
Top Bottom