'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

Wanamuombea kwa jina la baba mtakatifu😁.
Kanisa Katoliki lina kazi ya ziada ya kufanya kwa wafuasi wazawa wa ukanda wa Pwani kwani hawana tofauti sana na masheikh ubwabwa.
Wewe mbung'o tunakujua ni mkatoliki konki ila ila tukikuletea mada za wakatoliki kufira watoto wadogo hapa nchini na duniani na pia urasimishwaji wa ndoa za kishoga kwenye ukatoliki unabadilika na kujifanya Kiranga huamini dini
 
Hahahahaha Parokia ya Yombo Dovya Mtakatifu, Parokia ya Padre Mapendo 😂😂😂😂

Hawa ndio mnawaita wakatoliki?
Yeyote aliyenyuma ya hili akumbuke kuwa mwanadamu ana ukomo ambao mwisho wake una weza kuwa ni furaha, amani au majuto yasiyo na kikomo.

Hakuna aliyeteyari kununua samaki kambale za juzi zilizopakwa mafuta na muuzaji zingae ili zionekane ni za leo 🙏🤝
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Lakini naona kuna shida pahala! This is too much
 
Alaa kumbe Hii episode bado inaendelea! Hivi yule dada aliyetumiwa na ccm na kujifanya ameshambuliwa na wasiojulikana alitibiwa kizimkazi au lumumba😁😁
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Hao siyo wakatoliki ! Hiyo Biblia siyo ya Kikatoliki.
 
Wanamuombea kwa jina la baba mtakatifu😁.
Kanisa Katoliki lina kazi ya ziada ya kufanya kwa wafuasi wazawa wa ukanda wa Pwani kwani hawana tofauti sana na masheikh ubwabwa.
Siyo wakatoliki hao.
Kuna makosa mengi kwenye maelezo yake.
1. Ametaja parokia tatu tofauti.
2. Ametamka maombi nje kabisa ya utaratibu wa kanisa katoliki. Hakuna Sala au maombi "kwa jina la Baba Mtakatifu".
Pwani wapo wakatoliki mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara. Wenyewe wapo vizuri kwa kujitambua, hawatofautiani hata nukta na wakatoliki wengine wote wa Tanzania.
Huu ni upumbavu unatengenezwa na watu wanao mharibia na kumchafua Samia. Kibaya zaidi mratibu wa haya matukio siyo mkatoliki ndiyo maana Kuna makosa kila akitoa igizo.
 
Yoda
Lucy sijui anatafuta nini kwa wakatoliki.
Akili yake ndogo hajui anaweza kuja kushitakiwa baadae pamoja na wauwaji wa MO29.
Kuna kesho unaweza kuja uongozi mpya watu wakafikishwa mahakamani.
Kumbe ni igizo lingine!
 
Back
Top Bottom