'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

Huyu mama hata kama anamsapoti Mama Samia hakupaswa kuongea mbele ya umma. Kwanz hakuna mkatoliki anayebeba hii biblia ya kiprotestanti. Pia kakosea kutaja jina la jumuiya yake na mwisho kamaliza kwa kusema "kwa jina la baba mtakatifu".

Kama kuna kiongozi wa CCM yuko nyuma ya haya mambo aache kwa sababu hayana faida kwa chama zaidi ya kukichafua chama.

View: https://www.instagram.com/reel/DUBgb8Witud/?igsh=MXU5aWtqeDEwMHV5dA==

Usizunguke sana mweyekiti wa CCM hana akili, haya mambo angekua kasha yakemea ila kwakua yeye na hao kina Maimuna akili zina fanana anaona sawa
 
WAUMINI WA KANISA HAWANA SHIDA KABISA...TATIZO NI WALE JAMAA WAVAA MAGAUNI WALIOKATAA KUOA NA KUISHI KWA NYETO...WANA SHIDA SANA KENGE WALE
 
Wamekosa misale ya waamini hata ya kuazima? Wakatoliki wanaheshimu Sana bibilia Takatifu na huwezi kuwaona wakitembea nayo kwa maonyesho mtaani

Biblia gani wanayoiheshimu.??

Hii wanayoitumia kufungisha ndoa za mashoga au wepi exactly??
 
Ukielewa tofauti habari kama hizi hazitakusumbua
Kuna Wakatoliki ambao ni wale unaowajua siku zote akina Kitima etc

Kuna Wakato-link ambao ni hawa wanapanda miti na kuandika barua Vatican kwa maandamano.

Kuna tatizo gani Wakatolink wakipanda miti katika siku yao?

Shida siyo hao unaowasema

Tatizo la nchi hii ni hao jamaa zako wavaa magauni ambao wanaishi kwa masterbation

Hao wahuni ndiyo laaana kwa Taifa hili.
 
Usizunguke sana mweyekiti wa CCM hana akili, haya mambo angekua kasha yakemea ila kwakua yeye na hao kina Maimuna akili zina fanana anaona sawa
Bado nguchiro wa kanisa hamjasema

Tunataka mseme tuwaskie mkisema kenge nyinyi
 
BAKWATA na UVCCM badala ya kumsafisha ndiyo wanazidi kumpaka uharo kabisa.

KANISA KATOLIKI MNACHEZA MICHEZO YA KIFA.LA.SANA

MNATENGENEZA DRAMA KISHA MNATAKA WATU WACHEZE DRAMA ZENU??

MMEFELI SANA NA BADO MTAZIDI KUUMIZWA SANA
 
Bado nguchiro wa kanisa hamjasema

Tunataka mseme tuwaskie mkisema kenge nyinyi
downloadfile-1.jpg

Hapa ulikua unaenda wapi na kijora chako
 
HAO NI WAUMINI WENU KENGE NYINYI

WAISLAM WANAVAA HIJJAB NA SITARA NA SIYO HAO WAUMINI WENU

SASA MNAWAKATAA WAUMINI WENU KISA WANASIMAMIA MAONO YAO??

PAMBANENI NA HALI ZENU KENGE NYINYI
Ndio maana mnaitwa marofa wakatoriki hatuna waumini
 
Ndio maana mnaitwa marofa wakatoriki hatuna waumini

Nimeskia dini yenu mnatoa vitambulisho dadekii

Teh teh teh

Dini gani inatoa identity cards??

Hao ni wenu tuh hata muwakatae kwa namna gani.

Kanisa linachechemea
 
HAO NI WAUMINI WENU KENGE NYINYI

WAISLAM WANAVAA HIJJAB NA SITARA NA SIYO HAO WAUMINI WENU

SASA MNAWAKATAA WAUMINI WENU KISA WANASIMAMIA MAONO YAO??

PAMBANENI NA HALI ZENU KENGE NYINYI
Wewe jamaa uko na mental distortion hakika.

Kupitia wewe Kila siku unaonyesha waislamu mlio wengi ni watu wa hovyo tofauti na mnavyotaka kuaminisha watu.

Kwa sababu katika hili,Kila mwenye akili timamu anajua kuwa ni la kutengeneza.

Ila wewe Kila saa unawatukana Hawa maaskofu na mapadre,why? Mara wanapiga punyeto mara wanavaa magauni...Bro!!

Punguza kuteseka juu ya wakristo na ukristo. Hatuwezi wote kuwa dini Moja hapa duniani.
 
Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .

Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .

Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .

Parokia ya Yombo Dovya haiitwi Mt. Yohana. Inatwa
Parokia ya Mt. Kaloriwanga
Screenshot_20260128_115137.jpg

Mshana Jr
 
Back
Top Bottom